Ombi binafsi: Hospitali za India zingeletwa nchini

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
29,009
10,635
Wakuu wetu wengi wamekuwa wakikabiliwa na maradhi mbalimbali na kupelekwa India kwa matibabu zaidi baada ya hospitali zetu za hapa nchini kushindwa.Wapo wengi toka siku za nyuma na mpaka hivi karibuni wamepelekwa akina Prof Mwandosya,Dr Mwakyembe,Chami ,Zitto Kabwe na wengineo.Ingekuwa vizuri huduma hiyo ikaletwa nchini kuepukana na huo usumbufu na gharama lukuki.Ni wazo tu.
 
Back
Top Bottom