Ombamba maarufu, Matonya, afariki dunia

Duu poleni sana kwa msiba wana Morogoro umri ulikuwa umeishaenda.
 
Mkuu kumleta mareehemu matonya kwenye jukwaa la siasa????????
Nadhani ban zimepungua siku hizi

Acha utumwa wa kiakili kwani Matonya sio mtu, wewe unataka msiba gani ndio uone sawa...kama ombaomba mbona hata CCM, Chadema wote ombaomba tu.
 
Acha utumwa wa kiakili kwani Matonya sio mtu, wewe unataka msiba gani ndio uone sawa...kama ombaomba mbona hata CCM, Chadema wote ombaomba tu.

Mkuu viroba vinaruhusiwa mda wowote. sikusema matonya sio mtu. upo JF miaka mingi sana na naamini unajua jukwaa la siasa linahusiana na nini.
 
RIP Matonya.

Tutakukumbuka kwa SHULE yako nzuri kwa awamu ya NNE.

Haya jamaa walifuzu mno Matonya University na kupata PhD za Kutembeza Bakuli (Omba omba wa Kimataifa).
 
Sahihisho kidogo: Siyo kweli kwamba kila nafsi itaonja mauti!!! Enock na Elijah walichukuliwa kwenda mbinguni wakiwa hai hawakuonja mauti na siku Yesu mwana wa Mungu aliye hai atakaporudi wafuasi wake watakao kuwa hai siku hiyo hawatakufa bali watanyakuliwa mawinguni bila kuonja mauti. Believe in him who gives life, he came so that they may have life and have it more abundantly
ndugu hebu nipe huo mstari niusome vizuri wa enock na elijah[/QUOTE]

Mkuu nakushukuru kwa kuonyesha interest juu ya hii topic

Kuhusu Enock soma Mwanzo 5:21 - 24 na juu ya kuchukuliwa kwa Elijah soma sura ya pili nzima ya Wafalme wa pili (Wafalme 2)lakini kama huna muda wa kusoma sura nzima basi soma tu fungu la 11 - 12. Ubarikiwe!! "the truth shall set you free"
 
RIP fellow ccm victim MATONYA

Sahihisho kidogo: Siyo kweli kwamba kila nafsi itaonja mauti!!! Enock na Elijah walichukuliwa kwenda mbinguni wakiwa hai hawakuonja mauti na siku Yesu mwana wa Mungu aliye hai atakaporudi wafuasi wake watakao kuwa hai siku hiyo hawatakufa bali watanyakuliwa mawinguni bila kuonja mauti. Believe in him who gives life, he came so that they may have life and have it more abundantly

Sahihisho la sahihisho: Hakuna mtu alikwenda Mbinguni kabla ya Ukombozi. Milango ya Mbinguni ilifungwa wakati wazazi wetu wa kwanza walipoasi, na msamaha ulipatikana baada ya Sadaka ya Kalvari.

Akina Elijah walikwenda kuzimu, na sio Mbinguni, kusubiri Ukombozi.
 
Mzee Matonya ambaye ni kioo cha hali halisi ya taifa letu kwa wafadhili katutoka jamani habari kamili hizi hapa:

MZEE+ANTHON+MATONYA+PIX+NO+1.jpg

MICHUZI: msiba wa taifa: ombaomba maarufu nchini mzee matonya afariki dunia

Maisha ya Mzee Matonya hapa:
matukio-michuzi: MAKALA MAALUMU INAYOELEZEA JUU YA MAISHA YA MZEE MATONYA WAKATI WA UHAI WAKE KATIKA KIJIJI CHA BAHI.
 
Zito kabwe hawezi kukwepa lawama kutokana na kifo hiki kwa sababu matonya ni mmoja wa wale watz 27 walioficha pesa zao nje ambao wanasakamwa na kabwe. mpaka anafariki pressure ilipanda kufikia 280/220 huku akiweweseka kuwa pesa zake zimepotelea uswisi:second:
 
Back
Top Bottom