Omary yusuph mzee.

Vitendo

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
582
103
Omary Yusuph Mzee,ni aliyekuwa Naibu waziri wa Fedha na Uchumi wa serikali ya awamu ya nne katika kipindi kilichopita,anatajwa moja ya watu makini katika uongozi na shughuli anazo fanya hasa alipokuwa pale Wizarani.
Ila nilishangaa kusikia kuwa hakugombea tena ubunge wa bunge la Jamhuri na juzi ameteuliwa na Rais wa Zanzibar kuwa Muwakilishi kwenye Baraza la mapinduzi.
Naomba Kuuliza kwa anayejua,kipi kilifanya Mheshimiwa huyu kutotamani/kutaka/kuhitaki kurudi Mjegoni pale Dodoma?
 
yaah hata mimi i was surprised kusikia hagombei, itakuwa shein alimwambia asigombeea atampa ulaji zbar.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom