Omar Nundu is purposely misleading - on Wikileaks Airbus revelations

6th January 2011

"It does not make any sense to say Air Tanzania, which is financially constrained, could involve itself in negotiations for the purchase of airplanes worth billions of shillings. I was not there when these deals were being negotiated, but I know that even by that time, ATCL had no money to embark on large-scale purchasing," noted minister Nundu.

Is there a day that our so called viongozi ever thought of this contry's financial consraints kabla hawajafanya maamuzi yanayolicost taifa kwa mabilioni ya fedha? Labda sio Tanzania hii viongozi hawalifikirii taifa hata kidogo wanapofanya haya maamuzi what the think about is how to jaza mifuko yao and to make matters worse mifuko imeshajaa lakini wanataka waendelee kuchota tu.
 
duh kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni.......kweli hapa tuna mawaziri kweli au ni puppets waliowekwa. first it was selina kombani comimg up with stupid commets then werema na kabla kidonda hakijapona huyu naye anatupa utumbo......sijui viongozi wa nchi hii wamelaaniwa?
 
Unajua ukibashana na umma saa zengine unaweza kujikuta unakuwa kituko mie wacha nikachukue popcorn nije kuangalia hii saga inaishia wapi maana huyu waziri sitoshangaa akasema yale yalikuwa ni mawazo yake tu na sio msimamo wa serikali.
 
Sasa mikutano yote ile kati ya Mattaka,Chenge na Ubalozi ilikuwa uwongo pia? Huyu jamaa sawasawa kweli kichwani? Kwani si serikali ndiyo iliyotaka kununua hizo ndege kwa niaba ya ATCL? Sijui viazi kama hawa wanapataje nyadhifa

Wanapataje nyadhifa? Simple, unalamba viatu vya fisadi
 
Does Omar Nundu know the communication between Airbus and David Mattaka on the subject matter? The letters of late 2008 of which mine eyes have seen?
 
duh kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni.......kweli hapa tuna mawaziri kweli au ni puppets waliowekwa. first it was selina kombani comimg up with stupid commets then werema na kabla kidonda hakijapona huyu naye anatupa utumbo......sijui viongozi wa nchi hii wamelaaniwa?

Anaweza Nundu asiwe sawa kwa alichosema kwani ni maoni yake tu, lakini kwa wale wanaoshangaa inaonekana mpaka sasa wanashindwa kuelewa nini tofauti kati ya reliable sources na ambazo sio reliable. Kwa mfano hiyo wikileakes je ni reliable sourse, na kama jawabu ndio kwanini Mr asanje akamatwe. Wacheni kukurupuka nivyema kuyaelewa mambo kwanza baadae ndio unaweza kutoa mawazo yako na mawazo yako sio lazima yakubalike. Wikileakes ni nani? Wabongo amkeni
 
You dont need to be a rocket scientist to see that the names NGOMA NGUMU and NUNDU share a lot in common...so must be their crania!!
 
Huyu ni waziri wa aina yake sana,hana utaratibu wa kufanya utafiti yeye anakurupuka tu.Mfano ni suala la kusitisha mkataba wa Kampuni ya Majembe.Alifanya utafiti kiasi gani?mbona watz wengi hapa Bongo walikuwa wakiwakubali Majembe na usafiri ulikuwa umenza kidogo kuwa na hadhi hapa mjini?Sasa katurudisha hukohuko.Rubbish.

Unajua hawa mawaziri wetu ni wapumbavu sana. It's sad that they do not know that as a minister in government unapoita news conference na kuongea nao kuhusu issue yeyote, you are already representing your ministry and in effect, your government. People like Nundu are still governing like our leaders did in the 60's and 70's when nobody knew anything unless it was in radio Tanzania and nobody kept records of what was said and by whom. Kwa sasa kinachowachallenge ni kwamba kila wanachosema wanakumbushiwa after a few weeks and somehow they don't learn from this. Kesho ukimwuliza atashindwa la kusema kwa hiyo atasema hiyo ilikuwa ni opinion yangu binafsi. They don't even have the integrity to stand by what they said na kiongozi wao anawaangalia na anawaacha tu kwa sababu uwezo wake kiakili is the same kama wao. I can not believe kwamba baada ya kuchakachua uchaguzi wa 2010 na kuchukua term ya pili bado ameshindwa kuanza na clean slate awaondoe hawa madokta wa kununua vyeti. So disappointing.
 
6th January 2011

My Take:
I can speak with absolutely certainty that there is enough evidence supporting the US's diplomatic cable on the airbus issue. I hope he will reconsider restating his ministry's position before this evidence becomes public next week on JF's own expose!!

What evidence? the spy was reporting to his bosses on what Mataka said, was there any bribe involved?

What certainty? you are bogus, kizabizabina.
 
“It would have been easier to substantiate the validity of Wikileaks allegations if ATCL had acquired new airplanes. But Air Tanzania does not possess any new plane…that’s why I can say with certainty that the Wikileaks allegations are invalid, illogical and untrue, since they cannot be proved,” said Nundu.

Failure to prove does not mean something doesnot exist.......Kimsingi si kazi ya wikileaks ku-prove hizi allegations kwa serikali, serikali inawajibu wakufuatilia, kuchunguza na kuwawajibisha watendaji wake kama kweli wamehusika....

You dont need to be a rocket scientist to see that the names NGOMA NGUMU and NUNDU share a lot in common...so must be their crania!!

Mategemeo yangu makubwa yalikua kwamba utathibitisha credibilty ya wikileakes kama reliable source na badala yake umefungua mjadala mwingine kua mimi na mheshimiwa nundu we share a lot in common, so what? Nothing to do with central arguments.

Huyo mtu amesoma hapo bongo na nje huenda akawa anawafahamu wazungu kuliko unavyo wafahamu,. Unawaona wazungu wa maana sana wakati tokea vita kuu ya pili ya dunia 1945 mpaka leo sio Tanzania tu bali Africa nzima inasuffer. Baadae unaona kila linalosemwa na wazungu kua ni kweli. Tabu tulionayo wabongo ni kua hatupendi mtu ambae yuko serious tumeshazoea ubabaishaji.

The gay is strong and he knows what he is doing. Angalia qualification zake ndio utamjua ni nani au kwa sababu anaitwa omari ulitaka mpaka aitwe kinyanjui ndio ungejua ni mchapakazi. Ni vema akapewa taimu ili aparsue plan zake baadae tutamjua ni nani
 
Thanks I did not know Mr Nundu is a GAY! No wonder amekuja na hiyo comment
 
mmezoea wanasiasa wenu wa CCM ambao wakilambishwa pipi hutulia kama wananyolewa.

Muheshimiwa M. Mwanakijiji, nimekuwa nafuatilia sana threads zako nyingi, na kwa kweli nakuvulia kofia kwa mchango wako murua na usiopendelea upande wowote. Hivyo basi nategemea mambo mazito kutoka kwako kuhusu hili suala la ATC na Wealeaks. Hapa nilipo bado ni J'TATU, kwa hiyo bado nasubiri makombora yako kuhusu kauli ya Waziri Nundu na hii SAGA ya ATC.
Taarifa nilizonazo za muheshimiwa Nundu ni kwamba, mpaka Nov. 2010 alikuwa President wa ICAO (International Civil Aviation Organization) shirika ambalo ni kitengo cha UN katika masuala ya usafiri wa Anga.

Kwa mujibu wa WIKIPEDIA, ICAO is a specialized agency of the United Nations, codifies the principles and techniques of international air navigation and fosters the planning and development of international air transport to ensure safe and orderly growth.

Hivyo basi sijui kati ya muheshimiwa O. Nundu na Wikileaks ni nani anasema ukweli. Lakini yote haya tunakuachia wewe mkuu.
 
Back
Top Bottom