OMAR LAMBI amefariki

Sisi sote ni wa M/Mungu, na Kwake wote Tutarejea....

Pole wafiwa na Jamaa wa Karibu.

Kaka GT labda utupe wasifu muhimu kama Marehem aliacha mke au la?

pia kama aliacha watoto maana hao ndio muhim na kuangaliwa ktk Hio michango inayotolewa sasa.

Pia tujulishwe kama Marehem ana madeni au La...ktk Maisha ya mwanadam..wengi tunafariki tukiwa na madeni...wale wenye kumdai Marehem basi wajitokeze...ili Haki zao warudishiwe...

Pia Kama anavyosema GT kuwa Marehem alikuwa active member wa JF, n vema wana-JF wote tukamsamehe ingawaje ID yake hatuijui...

Binafsi Namsamehe -Na Muumba pia amsamehe-Ameen
 
MAREHEMU OMAR LAMBI:

Alishawahi kuwa rais wa Chuo Cha usimamizi wa fedha "Instute of Finance Management" (IFM).

Akiwa hapa Uingereza, Marehemu alikuwa na Master ya Strategic Management na mwezi wa tisa mwaka huu alikuwa yupo mbioni kuchukua PHD.

Alikuwa na mke na watoto 2 kule nyumbani Tanzania

zaidi ya hayo alikuwa ni kaka yetu ambaye tulikuwa tunashiriki naye kwenye shughuli mbali mbali hapa UK hivyo sisi wengine bado tuko kwenye majonzi makubwa sana.

kwa sasa sina zaidi ya hayo lakini chuma kama unayo address ya Khitma pale ILDFORD basi tufahamishe au kama huna taarifa basi muulizie Ustaadh AYOUB
 
Kuna Mwingine Anaitwa Pricely Muro Amefariki Nchini Marekani Je Nani Ana Taarifa Zaidi Atupashe

Duh Waongo Mamtoni Wanaondoka Tu Kama Vile Mwaka Huu Wao
 
TAARIFA YA HITMA
Omary_Lambi2.jpg

Familia na marafiki wa Bw. Omary Lambi inawataarifu Kisomo (hitma) cha kumuombea marehemu, Kisomo hicho kitafanyika katika jengo la Muslim community centre,Eton Rd, Ilford, IG1 2UE. siku ya jumapili saa kumi jioni.

Maelezo zaidi wasiliana na Almas Kassongo - 079830 73526Adam - Mgoyi 07817290269Mhando – 00447863138725 Kindamba – 07903133646 Watu wote mnakalibishwa
 
Pole nyingi kwa familia ya marehemu kwa kupoteza ndugu na pia kwa wanaJF kwa kupoteza mwanachama. Nawatakia kheri katika khitma

JJ
 
jamani nawakumbusha kuwa inshaalah leo Jumapili ndio hitma ya Ndugu yetu Lambi pale Ilford...saa nane kamili mchana
 
Aslaam alykum

ninapenda kutoa taarifa kuwa tumemaliza shughuli slama slamin na kwa niaba ya familia napenda kutoa shukrani za dhati kwa wote waliohudhuria na inashaalah kutakuwa na hitma nyingine ya al marhum Omar lambi next week kule Manor Park address na time nitawaletea punde Ustaadhi MASOUD atakapo nipa taarifa kamili

wabillahi Taufiq
 
mambo yanayomfaa maiti ni 3 tu.

sadakatul jariyah.
mtoto mwema anayemuombea duas mzazi wake.
kama alikuwa mwalimu akafundisha elimu itakayosaidia jamii(keeps in mind sio elmu ya UGANGA wa tunguli etc)

full stop.

so yalobakia yote khitma,maulid,arobaini,khamsini,sitini ni BID'AAAA.

GT....
hivi ktk visomo vya khitma,unafikiria wale wanaopewa juzuu wanasoma quran inavyostahiki???kwa nini mnaendeleza mambo ambayo yanazidi kumtesa al-marhum?????kama tutafanya sensa 99% ya wanaohudhuria khitma,usomaji wa quran ni MINUS INFINITY.
so ushauri wangu ndugu zangu ni kuwa jambo kama hilo likitokea basi bora ufanywe mchango na zile pesa kama kutengenzwe masjid kule nyumbani kwa nia ya kuwa hii ni sadaka ya maiti,na sio kualika watu khitma,40,50,60 n.k.

maassallam.
 
MAALIM HILI SUALA JANA NALO LILIZUNGUMZWA NA ZILITOKA FATWA ZAIDI YA 10 kwa bakhti nzuri jana tulikuwa na vigogo wote waliobobea na walitoa khutba kuhusu hili suala

SHEIKH NITARUDI BAADAE KUKUPA VIPANDE KWA WAKTI HUU NAOMBA UNIPE NASAFAI NIJIBU KWANZA MASWALI YA KISIASA kwenye forum nyingine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom