Olympics 2012, Tanzania ni aibu....

Hongereni vijana wetu mliokwenda kwenye olimpiki. Huo ni mwanzo. Iko siku tutarudia enzi zetu za akina Nyambui. msife moyo. RIO 2016 nendeni pia. mmeona hali halisi, kazaneni.
 
BAYI ALIBEBA NA MAMA WATOTO KABISA

Wacha umbeya wewe. Bayi ana hela zake mwenyewe na kama anataka kusafirisha familia yake kwenda Uingereza ana huo uwezo. Hana shida na vijisenti vya serikali vya kupeleka wanariadha London.
 
Wacha umbeya wewe. Bayi ana hela zake mwenyewe na kama anataka kusafirisha familia yake kwenda Uingereza ana huo uwezo. Hana shida navijisenti vya serikali vya kupeleka wanariadha London.

Kha?......ndio uwake kama vile Anna dada yako?.....kama maneno yako ya kweli kwa nini apewe official ID ya Olympics?.....wewe huijui njaa ya hawa watu!!!


DSC01341-500x375.jpg
 
Mkuu OMEGA,
Wewe ndo umenena, kutembea hapo ni sawa kabisa, wapo watanzania wanaweza kutembea mwendo mrefu sana! tatizo huku bana dah nimeshindwa kuongea ngoja niishie hapa!

Siyo kutembea tu ambayo tuna utamaduni nayo, kuna kupiga makasia/kuendesha mitumbwi. Hivi kweli tukichukua kama Wapemba 100, Wakara 100, Warufiji 100, Wakisiii 100 na Warufiji 100 na kuwaandaa kupiga makasia kisayansi hatuwezi kuwapata angalau 10 wa kuwapeleka Olympic kushindana katika tsnia ya canoeing???
 
Je umemwona mkenya mmoja anaitwa Rudisha amevunja rekodi ya dunia ya 800m, yeye alijitengenezea uwanja wake wa mazoezi porini, akafanya mazoezi na kufanikiwa kurudi 'umasaini' na dhahabu na rekodi mpya ya dunia.
Hakuna kujitetea ni uzembe wetu huo.

chukua hatua basi na wewe ya kushiriki haya mashindano umekaria kulaumutu bwana, kamavipi nenda na wewe ukashiriki ukajione mchakamchaka wake huko.
 
Back
Top Bottom