Olympic Tower 2016 - Brazil

Beauty

JF-Expert Member
Feb 6, 2008
540
23
What a striking image this will be - Anyone going to Brazil for the Olympics in 2016 ?

Olympic Tower 2016... For Rio de Janeiro
hx0l8k.jpg
This vertical structure will be placed in Cotonduba Island.

It will be both a observation Tower, and a welcome sign for the visitors arriving by air and by

Sea at Rio de Janeiro, where the Olympic Games 2016 will take place.

The project is from Zurique, and utilizes solar energy during the day with its solo

Power panels, to pump the sea water as seen in the model.

The movement of the water will be also utilized to turn the turbines

And produce the power to work the system at night time.

23t5hzs.jpg

n the Solo City Tower is the Cafe anfiteatre, auditórium, shops etc. E lifts will take the visitors to the top, Where the view will be fantastic, and bungee jumping will have a special platform.

2p7js.jpg

kbrw5t.jpg
 
Kwani zile fedha za epa zisingetosha kujenga kivutio kama hiki?!
 
Hah haa aa!
I love my country tanzania. But I don like those people in the rulling power right now, coz they don't think of tommorow they alwayz thinking of yesterdays ndio maana tulifanya nanihii na nanihii haziishi. You will never heard tutafanya hivi, hiki na kile, kwa muda huu ili mwaka fulani tuwe na kitu fulani.... never!

Nani atawaza kujenga kitu kama hicho hapa Tanzania? Tunavunja nyumba za mamilioni ya shilingi kandokando ya barabara eti tunataka tutanue barabara halafu tunachenga barabara yenye upana wa mita 3.5 hii ni akili au matope. Tunaandaa mikutano ya kitalii tunailoketi city center badala ya huko Ngororo Manyara mikumi n.k kwenye vivutio halisi vya utalii, lazima kutakuwa kuna ujuha katika vichwa vyetu!

Tunaingia mikataba ya madini yenye Tax exemptions ya miaka 10 wakati muwekezaji anafunga mitambo yenye uwezo wa kubeba nusu ya mali iliyo lala hapo chini kwa miaka mitano tu. Huu ni mzaha kabisa. Serekali inashindwa kuendesha mashirika ya umma inatafuta wawekezaji lakini mid-way muwekezaji anashindwa, serekali inamsaidia kulipa madeni na mishahara ya wafanyakazi wake faida ni mavuno ya muwekezaji, Its really Stupid.
Don't even dream of that kind of tower in Tanzania. Ole wenu... the time will come watanzania wadai kilicho chao.
 
DAh hawa Brazil watavuna ipasavyo maana Next world cup ni kwao 2014 na 2016 ni Olympic duh
 
What a striking image this will be - Anyone going to Brazil for the Olympics in 2016 ?

Olympic Tower 2016... For Rio de Janeiro
hx0l8k.jpg
This vertical structure will be placed in Cotonduba Island.

It will be both a observation Tower, and a welcome sign for the visitors arriving by air and by

Sea at Rio de Janeiro, where the Olympic Games 2016 will take place.

The project is from Zurique, and utilizes solar energy during the day with its solo

Power panels, to pump the sea water as seen in the model.

The movement of the water will be also utilized to turn the turbines

And produce the power to work the system at night time.

23t5hzs.jpg

n the Solo City Tower is the Cafe anfiteatre, auditórium, shops etc. E lifts will take the visitors to the top, Where the view will be fantastic, and bungee jumping will have a special platform.

2p7js.jpg

kbrw5t.jpg

Mazingira safi, sehemu kama hizi zikiwepo hata watu hawawezi kukwepa kulipa ushuru wakijua pesa yao inafanya kazi ya maana siyo kama sasa watu wanajua wazi pesa inaenda kwa fulani na jamaa zake.
We need to have a clear vision and kuwa na facilitators waaminifu siyo mtu anasema harafu hakuna mfano hai. Tuache uongo maisha yetu watanzania tutayajenga sisi wenyewe na siyo huu upuuzi wakutegemea mtu toka nje aje ajenge sehemu kama hizi. We can do this lakini mipango yote inaishia bar na kwenye makatasi full kupendeleana hata pale panapohitajika ufanisi unampa kilaza. Lets us stop this and do for our future Tanzania.
Utakuta ndani ya jiji kama Dar hakuna sehemu hata za kupumzikia, sehemu zenye mazingira ya kuvutia ambapo kila mtu anaweza kujirusha kwa nafasi yake kwa, sehemu nyingi wajanja wanazikomba zote. Tamaa hizi za viongozi wetu zitatuua.
 
kaka huyu jamaa aliye chora na usanifu wa hiyo olympic village yuko juu halafu ni mbrazil!!

hivi mainginia wa tanzania wana nini cha kujivunua??????
 
kaka huyu jamaa aliye chora na usanifu wa hiyo olympic village yuko juu halafu ni mbrazil!!

hivi mainginia wa tanzania wana nini cha kujivunua??????

Wanachojivunia ni kutanguliza herufi ENG. kwenye majina yao.
 
hapo umenena, engineer so and so

Fanyeni vitu watu watawaita mainjinia sio lazima ujiite wewe
 
Lakini bado kuna maskini wa kutupwa ambao hawapati hta mlo wa siku:mad2::mad2::mad2:
 
Lakini bado kuna maskini wa kutupwa ambao hawapati hta mlo wa siku:mad2::mad2::mad2:

umaskini wa brazil ni tofauti na umaskini wa hapa kwetu. brazil wanayo population kubwa sana, lakini ni moja ya developing countries ambazo uchumi wao uko juu. developing country ambayo imekuwa second kuexport magari kwa muda mrefu, wanatengeneza ndege nyingi pia kuanzia za kivita hadi za abiria, mandege makubwa. mabasi ya marcopolo yanatoka brazil, kuna viwanda vya magari vinavyouza kuliko kule vilikooriginate, mfano; fiat, ni magari ya italia lakini wameweka kiwanda brazil, wanauza kuliko italia. makampuni karibia yote ya magari yamewekeza brazil. train na mabaso yote ya abiria ukifika brazil ni fancy kuliko mabasi yale ya ulaya, kuna kipindi walikuwa wanatoa tishio la superpower kama inavyotoa tishio china kwa sasa. wako juu sana kwa kifupi.juu mno.na isingekuwa population yao, wangewazidi nchi nyingi tu zilizoendelea.
 
Back
Top Bottom