olympic-mtanzania hoi-boxing

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Bout Summary
CornerRound 1Round 2Round 3
PointsWTotalPointsWTotalPointsWTotal
RED222 2 M222 2 S333 3 S
BLUE988 8 M555 5 S776 7 S

1244674.png
RED VS
1244390.png
BLUE
 
nakumbuka enzi za Lucas msomba,emmanuel mlundwa,titus simba (rip),mzee kinyogoli,enzi hizo medali tulipata hata kama sio za olyimpics.
 
kuna aliyeangalia hizo ndundi?
kama yupo basi na anijulishe kama huyo Bondia hakutapika...
 
si wampeleke cheka au inakuaje kuna sheria zake wadau
Cheka ameshajiunga ngumi za kulipwa, haruhusiwi kwenda Olimpiki. Wanatakiwa mabondia wa ngumi za ridhaa. Ndio maana huwezi pia kuwaona akina Tyson, Evander, Haye, Klitschko au Chisora kule Olimpiki.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom