Olympic madaled in Africa

Crucifix

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
1,651
588
1. South Africa (hawa tuliwapigania kupata uhuru wa kweli)
2. Ethiopia (hawa wana laana ya kumpindua mfalme selasie jah)
3. Kenya (Nyerere aliwaita Nyang'au)
4. Tunisia (walitibuana juzujuzi)
5. Algeria (hawa wana laana ya Ben Bella)
6. Egypt (Hawa wanategemea nile inayotoka kwetu)
7. Botswana (wanaazima madaktari wetu kuwatibu)
8. Gabon (ndege ya Zambia ilizama kwenye ardhi yao!)
9. Morocco (wana laana ya west sahara)
10. Uganda (tuliwatandika na Idi amin wao)


sisi hatuna shida yoyote, tumekosa hata medali ya jiwe! DUH
 
Back
Top Bottom