Olimpiki na tanzania = kizungumkuti

Mauu

Member
May 24, 2012
48
24
Wadau naomba tujadili hili suala la olimpiki na ushiriki wa nchi yetu ya tanzania. Mpaka sasa sijasikia chochote kuhusiana nalo. Haijulikani ni wanamichezo gani wanaokwenda na timu, viongozi gani, au ndo wanaenda kutalii?
 
Imebakia miezi miwili na hakusikiki chochote, lakini tumezowea. Mimi ninasubiri visingizio - which are granted.
 
Tanzania should not send anyone to London. It would be a waste of time and money, instead take that money and use it to set up youth programs in schools and universities.
 
Back
Top Bottom