Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,883
- 6,884
Marekani ubunifu wa nguo hizi za michezo kwa namna moja ni udhalilishaji kwa wanamichezo kwa kutoficha baadhi ya maungo yao ambayo si vema kuonekana jiografia yake kwa uwazi hivi.
We nini wewe!
Vazi Rasmi la Olympic kwa zaidi ya mika 2000 ilikuwa ni Birth Day Suit.
Enzi hizo mtu unatimua mbio uchi kichwani una taji la majani ya Olive tu.
Juhudi kubwa sana zimefanywa hadi kufikia hatua hii tuliyo nayo sasa.
Tena nyamaza usiseme kabisa.
Hivi tanzania tutaandaa olympic lini
Unataka tukimbie na khanga kifuani? Lol!
Tukitwaa medali kadhaa labda watatufikiria. Kwa sasa usindikizaji ndo role yetu
kigagulo kifupifupi na khanga iliyofunika matiti kiushahidishahidi itakuwa poa sana...usinirushie dongo best lol!
Sikurushii dongo, tofali ndo size yako best!
Dah! Kumbe hunipendi Best!!! Tofali tena!? unataka kunifanyia mambo ya mabwepande? lol!
Mabwepande wanatumia koleo, afadhali umenikumbusha nibebe na hiyo. All in the name of love best, trust me. Lol
Unataka khanga ya kiushahidishahidi ili upige udeo incase of accident? Nshashtukia!
Hahahahahah lol! hapana bana si unaona kule kwenye beach volleyball London njemba zinavyojaa kuangalia nanihii furaha ya macho ni kukodolea