Olesendeka upo?

kibenya

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
383
134
Jamaani mnafiki ole aliwahi kusema jk kamanda wa kupambana vita ya ufisadi sasa hosea amenukuliwa na wikileaks anasema jk ndo kikwazo.hii imekaaje kwa olesendeka binafsi namshauri asijiite tena mpambanaji wa ufisad ni mnafiki mkubwa
 
tulishamtoa kwenye mapambano huyo hayupo tena bora ajiunge na RA
 
Ole Sendeka ni msanii sana '' hivi wadau hamkumbuki siku ile ya kuchagua spika wa bunge alivyokuwa anakimbikimbia bungeni ili tu amuulize mabere marando swali!
 
Back
Top Bottom