Ole wenu wanaume wenye tabia hii

kwa nini umekubali kubeba mimba ukijua mkaka ana mtu mwingine?kuna tatizo la wasichana kujibebesha mimba wakijua wanaume watabadili mwelekeo, pole sana mpendwa
 
Hivi ujauzito huja kwa ridhaa au unakuja kisapraizi sapraiz?
 
Kweli inaumiza na inatesa, ila msamaha una faida kwako kuliko yule unayemsamehe,kwanini uishi na uchungu maisha yako yote?
Ukiwa na hasira hata huyo mtoto hutampenda....ulikosea kufanya mapenzi na mwanaume asiyekuwa na kiapo nawe,matunda ndo hayo....usimlaum yeye tu...unapaswa kujua ulipaswa kujilinda....Kukimbiwa/kuachwa na mwanaume aliyekupa mimba si mwisho wa maisha....tuna wanawake wengi tu mifano....ukianguka unasimama,unajipanga,unasonga mbele kwa umakini zaidi.

Usemayo ni kweli Michelle hasa hiyo sehemu niliyobold.Wanaoishi na visasi huumia zaidi kuliko wanaolipizwa kisasiWewe kweli ni mama Ushauri.
 
Ndio madhara ya kutaka kutumia mimba kama kigezo cha kutaka kuolewa. Mwenzako huenda hajajipanga kuchukua majukumu ya kuoa na wewe unaamua kumtegeshea mimba ili akuoe....
 
Tabia mbaya sana ila mwanamke nawe usome mazingira ili uwe makini zaidi.
 
Ckuhizi wanaume wengi hawakatai ujauzito,najisifu na kuwasifu wenzangu kw hilo,japo sio wote.

Shida iko kw akina dada sahv,baadhi yao hutoa mimba kw makusud, wakidhan mimba inachakaza shepu ya mwili.

Pili huchanganya wanaume, na mwisho wa cku inapogundulika,hata aliekuwa nae kwa muda mrefu anakataa kuamin kama mimba ni yake au laa.
 
wanaume wanaokataa watoto ni wachache siku hizi.me personally siwezi kataa damu yangu.naweza kumkataa niliyezaa naye lakini ntaendelea kumtunza na kumpenda mwanangu
 
Yaani! Ingekuwa ni miaka ile ya 19 kweusi mtu ataeleweka.Mwanamke au msichana wa miaka hii yenye UKIMWI na magonjwa mengine, mtu unapataje mimba tu? Mwanamke mwenye kujiheshimu hatajiachia kupata mimba ovyo ovyo....Ukiachwa au kukataliwa mimba ni halali yako.Hata ukinuna, haikusaidii maana jamaa anaangaza mbele na dua la kuku halimpati mwewe.Mimi ni mwanamke lakini jwa hili wala sioni huruma.Labda kama ni msichana mdogo sana kama wale JK aliosema wana kiherehere, au kama umebakwa ukapata mimba.

unaongea kama vile sio mwanamke???lkn usilolijua usiku wa giza,kama ni mwanamke just wait utayaona tu.but nachotaka kukwambia wengine wanolewa kabisa kwa ndoa halali na wanaachika na watt.so the issue here ni hawa jamaa kutokuwa waaminifu kwa viapo vyao.ukishamtamkia mtt wa watu maswala ya ndoa basi be ready to keep your promise no matter what.no wonder unashangaa mtu kaoa,ana kila kitu but ndoa haina amani.au watt wakikua shule hawataki,wanakuwa mateja,umalaya na mengine mengi yanayokera kumbe source ni baba alipanda ubaya kwa atu wengine.UNACHOPANDA NDICHO UTAKACHOVUNA HATA UFANYEJE HUWEZI KUKWEPA HILI.wanaume wawe makini,before kuanzisha mahusiano for famiy building uwe na hakika na uliyenae na mwombe hata Mungu.yanin kurukaruka na watt watu jamani???hamjui tu lkn unajiepusha wewe na watt wako na laana nyingi kwa kuwa sahihi kwnye issue za mapenzi,just a word to men.yapo mabaya mengi yanawpata watu leo wanajiuliza ni kwann,kumbe mababu zao huko nyuma walikuwa na tabia chafuchafu.uuwaji,umwagaji damu bila hatia.kuzalisha ovyo watt wa watu na ukatili tu kwa ujumla so its better to stay safe than to break the cage
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom