Ole Sendeka afutiwa mashitaka

Huku ndiko kusafishwa kwa mujibu wa sheria za nchi. Mtu anabuzuzwa mahakamani na haki inahamua ukweli. Hongera sendeka kwa kutakaswa dhidi ya kowadi wa mafisadi. Na wale wote wanaotuhumiwa kwa ufisadi kitu pekee kitakaowasafisha mbele ya jamii ni mahakama tu. Na wala sio propaganda katika majukwaa ya kisiasa au kilewanachokiita vikao vya ndani vya kichama. Kwanza kwa kuanzia hivyo vyama vinawakilisha sehemu ndogo sana ya wananchi na wala walio wengi hatuviamini.
 
Nampongeza kwa hilo lakini ikumbukwe kuwa kushinda kesi haimanishi kwamba mtu ni innocent.Hata Zombe alishinda kesi lakini bado ni kitendawili,babu Seya kashindwa kesi lakini watu wanadhani haki haijatendeka.
 
Tanzania inawahitaji sana watu aina ya Ole Sendeka. Big Up Ole! Big Up Mahakama. Kweli Mahakama zinahitaji kuwa huru kabisa, kisionekane kama chombo cha watawala.
 
Hongera sana Ole Sendeka na pia sasa ukweli umejulikana kwa kiasi fulani na pia vyombo vyetu vya mahakama lazima viwe huru ili kuleta usawa katika jamii
nimefurahi sana, nimefarijika, maisha ni mapambano, kushinda kwa Milya kutakua mwanzo wa mpambano mpya wa Vita dhidi ya wanaojiona watawala wasio rasmi, hapa namzungumzia Rafikie Millya ambae ni Lowassa.
siku zote nilitamani kuona Ole Sendeka akishinda, hatimaye Amekuwa huru.
daaah Lowassa bana.
 
Naaona Sendeka kama hataki kuizungumzia tena ile kesi sijui kuna nini hapo..........isije kuwa wameelewana nje mahakama.....ndio maana haoni ushindi wake kama ushujaa...........

Hiyo siyo kesi ya madai mkuu!Sendeka kashtakiwa na Jamhuri kwa kesi ya jinai,kwa mazingira yalivyo hamna maelewano nje ya mahakama.Kama ndivyo basi mahakama isingesita kusema hivyo.Na kwa utu uzima wake,na kama mtu mwenye kujiamini hana haja ya kuendeleza malumbano.HONGERA SENDEKA!!!
 
Na bado, wanamtandao wataadhirika sana kwa hila zao za kijinga! Bado hili la finna dhidi ya Spika6, sasa hivi wanamtumia hadi mchovu Mrema!
 
Na bado, wanamtandao wataadhirika sana kwa hila zao za kijinga! Bado hili la finna dhidi ya Spika6, sasa hivi wanamtumia hadi mchovu Mrema!

Mrema nae, mtu mgonjwa hohehahe lakini bado anachonga ngenga kama vibibi kizee vya kizaramo au vya kihehe, ahh sorry kumbe Mrema anatoka kishimundu
 
Hii itakuwa ni sign nzuri kwa wote wale waongo na wanaotaka watu wengine waonekane wabaya na mafisadi mbele ya macho ya watanzania lakini sio kweli. Saa nyingine siasa za Tanzani ni za ajabu sana
 
Na bado, wanamtandao wataadhirika sana kwa hila zao za kijinga! Bado hili la finna dhidi ya Spika6, sasa hivi wanamtumia hadi mchovu Mrema!

Mkuu M wa M,
Mrema ni ssm kali kabisa, kumtenganisha nayo ni sawa na kukutenganisha wewe na kichwa na kiwiliwili chako. Huwa ninacheka sana wapinzani wanapomwamini Mrema akizungumza. Alitumwa makusudi kuumaliza Upinzania. Ameanza pia kukipigia debe CCJ. He si at work mkuu!!
 
Na bado, wanamtandao wataadhirika sana kwa hila zao za kijinga! Bado hili la finna dhidi ya Spika6,
Niweke sawa Boss kwa hili la Finna kwa Spika, kwanza Finna huyu huyu au? halafu lipi kubwa, maana tunajua mengi ya kwake...:mad:
 
Mafisadi na vibaraka wao watakuja na watapita LAKINI daima HAKI itasimama milele na milele
 
Mimi sitaki bifu ila naomba kutoa shukran zangu za pekee kwa idara ya mahakama kwa kulitafakari hili jambo na kutoa haki kwa anayestahili sasa wale wagomvi zetu tegeni sikio kujua kifuatacho
 
Back
Top Bottom