Oldest Woman

Blaine

JF-Expert Member
Jan 11, 2012
2,275
1,655
Nimepitapita yahoo leo na nimeona hii
ht_besse_cooper_kb_120827_wmain.jpg

CLICK HERE FOR MORE INFORMATION

I wish I could reach her age someday, I got ~91 years to go. what about you guyz and galz?
 
Kuna wanadamu hata hawajaufikia ujana wanaingia kwenye u.m.a.l.ay.a. Bangi na viroba + piwa, hakika hawatauona ujana! They just jump from childhood to uzeeni with very short life spurn. Emergine 18 yrs old girl amesex mara nyingi than her mum. Geez
 
Nina imani hapa kwetu Africa kuna ambao wanaumri mkubwa zaidi ya huyu bibi ila hawaandikwi magazetini! Mfano bibi yangu mzaa mama alifariki akiwa na miaka 119!
 
kumbe we mdogo
  1. jeki ndogo ila ________________
  2. reli nyembamba ila _____________

Nina imani hapa kwetu Africa kuna ambao wanaumri mkubwa zaidi ya huyu bibi ila hawaandikwi magazetini! Mfano bibi yangu mzaa mama alifariki akiwa na miaka 119!
dont take it personal but kuna kithibitisho chochote cha hiyo claim? hata mie nimesikia watu wenye 130+ years before but no proof.
 
Bi Kidude je??
Aliyeanza na miaka kumi kwenye majahazi anaweza kuwa mzee kumliko
 
Back
Top Bottom