King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,644
- 68,594
Hello JF,
Hii ni special thread kwa vitu vya zamani ambavyo ukishare na members inaweza vikakifurahisha na kukukumbusha those dayz,Hapa unaweza ukapost picha ya vitu mbali mbali vya kizamani hasa ulivyovitunza wewe,inaweza kuwa place,docs,posts etc
Barua Ya Kubembelezwa na mpenzi