Old is Gold: Good music never dies

Kitu kinaita hiki.

Wadau vipi hiiii?!!! <b><a rel="nofollow" href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=1397" target="_blank">BAK</a></b> ??? Yaani siku nzima ngoma inaplay kichwani, it's more than a feeling :)))

More than a feeling by Boston

[video]https://youtu.be/Fm_-sW4Vktw[/video]
 
Ebana naipenda hii video ya mama/bibi Mbilia Bel, ni re-make ya wimbo Nakei Nairobi toka miaka ya f 70's au 80s. Angalia mitoto ya kikongo inavyokatika ndani ya African attire, ingekuwa kwetu (wadanganyika na wazabinazabina) tungevaa kiulaya kama sio kighuba hatuna african pride yoyote. Enjoy it

 
Last edited by a moderator:
Hapa nimestuka nasikiliza tu ngoma za new edition "cool it now" " mr telephone man " .... Nikimaliza naanza na vitu vya New kids on the block
 
default.jpg

Soul Brothers performance from south Africa


soul brothers - intokazi




Source : Zuma84

Kazi ya kweli isiyochunjwa na wakati
 
Hili ni jukwaa mwanana sana kwangu,jamani kama kuna group la whatsap swmeni mniunge tutumiane mawe hayo aisee,majibu tafadhari
 
I'm free ya Donna summer nayo ilikuwa Kali enzi hizo, kuna Bernard wright na wimbo wake Who do you love. Bila kumsahau mwanadada wa enzi hizo Evelyn Champagne "The king" na wimbo wake Hold on to the what you got, dada Ana mipasho huyo hapo alikuwa anamwimbia bosi wake aliekuwa akimtaka kwa sababu ya pesa
 
Back
Top Bottom