Okwi

mluga

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
676
215
Hivi kweli ana kiwango kinachoandika kuwa Simba au Mnyama hashindi kwa sababu OKWI hayupo? Napenda kuwakumbusha ukiangalia pambano la mwisho la SIMBA vs Yanga ambao Yanga alilala 5 -0 kwa mu anayejua mpira ataona kulikuwa na hujuma za wazi penalti za kitoto, sasa huu umaarurfu mnampa kutoka wapi?

Okwi ni wa kawaida saana kama MGOSI tu, hebu tuache story za ngengeni watu wakisubiri kufturu jamani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom