Okoa 90% ya gharama za cartridges

May 24, 2011
16
1
Piga simu au email kwa mawasiliano zaidi
 

Attachments

  • ADvert2.jpg
    ADvert2.jpg
    61.2 KB · Views: 101
Hi ndugu samahani naomba ufafanue, printer hii ni aina gani na je saving yake ya gharama inakuwaje?

Maelezo zaidi juu ya printer hii yatasaidia kujua zaidi ubora wake.
 
Hii ni brand new printer ya kawaida ya hp deskjet 2050 yenye uwezo wa kuprint , scan na copy inauzwa (Tsh. 100,000/=) madukani
Inatumia cartridge namba 122 tri-colour (Tsh. 25,000/=)( 16ml volume) (can prints up to 100 colour pages)
na 122 black (Tsh. 20,000/=)(18ml) (can prints up to 130 black pages)
Wino uliokuja na printer ukiisha utahitajika kununua cartridges zote mbili zenye ujazo wa 34ml kwa pamoja kwa Tsh 45,000/=
THIS IS WHERE SAVING IS
This is not the way printer is from the manufacturer
Cartridges za printer hii zimeunganishwa kiutaalamu na mirija inayoingiza wino kutoka kwenye reserve containers nne za nje kwa njia ya vacuum zilizo jazwa wino wa 60ml @ x4 =240ml na utapata chupa nne za 100ml @ x4 =400ml zenye wino wa kujaza endapo reserve containers zitapungua, kwahiyo utakuwa umenunua printer, system, na wino wa 640ml kwa Tsh. 250,000/=
Hii ina maana umenunua stock ya seti za cartridges (hp tri-colour & black #122) kumi na nane (18) zenye thamani ya 45,000/=x 18 = 810,000/=
Na endapo reserve containers zako zitaisha wino tutakuuzia winowa rangi moja kwenye ujazo wa 100ml kwa Tsh.6000/= kwa rangi zote nne ni 400ml itakuwa 6000/= x 4 = 24,000/=
Hii ina maana utakuwa umenunua cartridges mbili za hp 122 tri-colour & black kwa Tsh. 2040 badala ya 45,000/=
 
Mie nilikuwa nahitaji kama mtaweza nisaidia nitafanyaje kwa printer yangu aina ya Epson DX8400 ambayo ina catridge nne za ambazo ni cyan, Magenta, yellow and Black. je nawezaje kupata huo mfumo, Plz dont advise to buy new printer nisaidie kwa printa ambayo ninayo. Thanks in advice. pia naomba copy ya ushauri unitumie kwenye PM maana hii post imejificha mno itakuwa vigumu kwa mie kuiona.
 
Nimeipenda hiyo printer! Nitawaandikia email nione uwezekano wa kuinunua na kunisafirishia huku mikoani niliko.
 
HIi imetulia. Lakini mkiweza kuboresha hii system ikawa compartible na hizi printer tulizonazo itakuwa bomba zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom