ok tukubali CCM ni mafisadi, swali

wote mafisadi,tena matajiri wa kutupwa na utajiri walioupata kwa ufisadi,inauuuumaaa
 
GT,

From "All The Kings Men" "Man is conceived in sin and born in corruption, and he passeth from the stink of the dydie to the stench of the shroud,"

Nionyeshe mtu anayesema hana ufisadi na mimi nitakuonyesha muongo.

Huyo Mengi ana mikopo kibao kachikichia, kodi kibao ka-manouvre.


We got to be very careful guys , Mikopo sio ufisadi ambao tutaka kuuchanganya Real Ufisadi, kuna taratibu za mtu binafsi kuchukua mikopo kwenye Financial Institutions na kuna hatua zinazochukuliwa na hizi institutions kama mdaiwa atashidwa kurudisha ama atakataa, sasa Real ufisadi ambao we have to worry first in my opinion na wa watu wanaokabithiwa thamana na umma (serikali) then wanatunia nafasi hiyo kujinifaisha kwa kukufuru kwa expense za umma (Richimond etc) bila huruma, wanakuja na mbinu ya kulipambanua word fisadi mpaka, mkomba mboga wanataka to be hold to thier standard ,Guys chambueni Pumba na mchele hasa kipindi hiki.
 
GT,

From "All The Kings Men" "Man is conceived in sin and born in corruption, and he passeth from the stink of the dydie to the stench of the shroud,"

Nionyeshe mtu anayesema hana ufisadi na mimi nitakuonyesha muongo.

Huyo Mengi ana mikopo kibao kachikichia, kodi kibao ka-manouvre.

Huyo Mwakyembe kamburuza Lowassa bila kumpa haki ya kumsikiliza katika sakata ambalo imekuja kugundulika yeye mwenyewe ana issues za "conflict of interest" kati kwa miradi yake mwenyewe na kazi zake za tume ya bunge. Isitoshe kaficha some findings za tume kwa kuwatetea mafisadi kwa kigezo cha "kulinda heshima ya serikali", more like kubomoa heshima ya serikali na bunge.And this is just going with publicly available information.

Afadhali hata ungesema Mwakyusa kuliko Mwakyembe na Mengi.

Bluray with due respect may I make one fundamental correction, Lowassa was given a chance to defend himself in front of all MPS but instead of presenting his side of the story he proceeded to tender his resignation!! As for Mwakyembe sina hakika na usafi wake kwani namuona kama mchumia tumboni tu!! He took a bribe from Masaburi to campaign for him for the EA legislature seat!He did not deserve to cast the first stone!! CCM wote wachafu.
 
Back
Top Bottom