Oil chafu kwa matumizi ya vyama vya siasa yatayarishwa

Status
Not open for further replies.

GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,315
306
Kutokana na chama cha mapinduzi kuchuja wagombea wa nafasi mbali mbali za kisiasa na kuwa acha wengi wao kutokana na sababu mbali mbali zikiwemo za utovu wa nidhamu na kutaka madaraka zaidi ni dhahiri shahiri kuwa watu hao waliomwagwa wana jiandaa kuhamia vyama vya upinzani na hasa hasa CHADEMA. Mwenyekiti wa CCM ameishasema wa-go ahead ya kuhama kwenye chama hicho dume na tawala.

Kwa muktadha huo basi hii haina Shaka kuwa vyama vya upinzani vitachukua oil CHAFU ya CCM km ilivyo Ada Yao siku zote.
 
Kutokana na chama cha mapinduzi kuchuja wagombea wa nafasi mbali mbali za kisiasa na kuwa acha wengi wao kutokana na sababu mbali mbali zikiwemo za utovu wa nidhamu na kutaka madaraka zaidi ni dhahiri shahiri kuwa watu hao waliomwagwa wana jiandaa kuhamia vyama vya upinzani na hasa hasa cdm. Mwenyekiti wa ccm ameisha wala go ahead yakuhama kwenye chama hicho dume na tawala.

Kwa muktadha huo basi hii haina Shaka kuwa vyama vya upinzani vitachukua oil CHAFU ya ccm km ilivyo Ada Yao siku zote.
Watakuwa wamechukizwa na Ccm kuendeshwa kwa misingi ya kifamilia zaidi ,wewe fikiria mtoto wa malecela alikuwa Huko ughaibuni muda wrote Leo yeye Ndio anateuliwa na waliokifia chama wanatupwa kova wao sio familia za vigogo, fikiria tena mwenyekiti JK anakaa kupitisha jina la mkewe,mwanaye na mdogo wake na kuwaacha wengine wana haja gani ya kutekeleza kukaa Ccm?

Fikiria MAdabida mtu na mke! Malecela KIlango na mwanaye LE mutuz , kawawa kaka na dada, na wengineo kibao , Hal walalahoi wabakie Ccm kwa lipi? Watakuwa lazima wamechoka kwani wameumizwa na kudhalilishwa sana , nawashauri wao wasiendelee kubariki huo uovu na unyanyasaji wa aina hiyo.
 
Hivi hamuwezi kufanya siasa zenu bila ya kuitaja Chadema? Ama kweli chama dume kimewabana kisawa sawa.Akinyanyuka dhaifu....Chadema, akiinuka vuvuzela........Chadema,akipanua domo mzee wa kulia lia .....Chadema. misukule ikiingia hapa jamvini...................................Chadema.Chezea nguvu ya umma wewe.
 
kutokana na chama cha mapinduzi kuchuja wagombea wa nafasi mbali mbali za kisiasa na kuwa acha wengi wao kutokana na sababu mbali mbali zikiwemo za utovu wa nidhamu na kutaka madaraka zaidi ni dhahiri shahiri kuwa watu hao waliomwagwa wana jiandaa kuhamia vyama vya upinzani na hasa hasa cdm. mwenyekiti wa ccm ameisha wala go ahead yakuhama kwenye chama hicho dume na tawala.

Kwa muktadha huo basi hii haina shaka kuwa vyama vya upinzani vitachukua oil chafu ya ccm km ilivyo ada yao siku zote.

usipoitaja chadema sijui unasikia nini
 
Watakuwa wamechukizwa na Ccm kuendeshwa kwa misingi ya kifamilia zaidi ,wewe fikiria mtoto wa malecela alikuwa Huko ughaibuni muda wrote Leo yeye Ndio anateuliwa na waliokifia chama wanatupwa kova wao sio familia za vigogo, fikiria tena mwenyekiti JK anakaa kupitisha jina la mkewe,mwanaye na mdogo wake na kuwaacha wengine wana haja gani ya kutekeleza kukaa Ccm?

Fikiria MAdabida mtu na mke! Malecela KIlango na mwanaye LE mutuz , kawawa kaka na dada, na wengineo kibao , Hal walalahoi wabakie Ccm kwa lipi? Watakuwa lazima wamechoka kwani wameumizwa na kudhalilishwa sana , nawashauri wao wasiendelee kubariki huo uovu na unyanyasaji wa aina hiyo.

Kama vile Slaa , mke mdogo, mke mkubwa na Tundu Lissu na sista wake wa kiti maalum.
 
Kutokana na chama cha mapinduzi kuchuja wagombea wa nafasi mbali mbali za kisiasa na kuwa acha wengi wao kutokana na sababu mbali mbali zikiwemo za utovu wa nidhamu na kutaka madaraka zaidi ni dhahiri shahiri kuwa watu hao waliomwagwa wana jiandaa kuhamia vyama vya upinzani na hasa hasa cdm. Mwenyekiti wa ccm ameisha wala go ahead yakuhama kwenye chama hicho dume na tawala.

Kwa muktadha huo basi hii haina Shaka kuwa vyama vya upinzani vitachukua oil CHAFU ya ccm km ilivyo Ada Yao siku zote.

Baseless predictions...
 
Waste and useless thread ever seen under the sun.
Mbona kuna baadhi ya watu mliokuwa mmewamwaga kama oil chafu, wamewatia mkwara mkaamua kuwarudisha? Ina maana na nyie mnatumia oil chafu?
 
Oil chafu ina matumizi mengi sana.
aise fundi wenu na timu yake wote vimeo,oil waliyoimwaga inauafadhali kuliko ile waliyobaki nayo.hilo gari sidhani kama livuka kitonga.
yaani magamba mmeona bora mjiandalie kamba wenyewe ili mjinyonge vizur!!!!!!wapuuzi kweli,2015 mnanyolewa.
 
Ongea pumba zako ukijua kuwa Nimrod Mkono ni kama mungu mtu kule Musoma.

Mmejifanya mabingwa wa mipasho mkidhani mnamkomoa mtu sasa mnaanza kuweweseka. Sasa kama ni oil chafu mbona bado unaitilia maanani, si uiache basi una haja gani ya kujiuliza itachukuliwa na nani?
 
Kutokana na chama cha mapinduzi kuchuja wagombea wa nafasi mbali mbali za kisiasa na kuwa acha wengi wao kutokana na sababu mbali mbali zikiwemo za utovu wa nidhamu na kutaka madaraka zaidi ni dhahiri shahiri kuwa watu hao waliomwagwa wana jiandaa kuhamia vyama vya upinzani na hasa hasa cdm. Mwenyekiti wa ccm ameisha wala go ahead yakuhama kwenye chama hicho dume na tawala.

Kwa muktadha huo basi hii haina Shaka kuwa vyama vya upinzani vitachukua oil CHAFU ya ccm km ilivyo Ada Yao siku zote.

Oil chafu ina matumizi mengi sana.

images
 
Baseless predictions...

Si kweli, huu ni mwnzo wa EXODUS ya kwenda CDM.

Tadhari tu, CDM safari hii ijue kuwa Sisiemu imetambua unyoge wenu wa kukumbatia hawa wanaojiita wanaharakati, wamewatuma maajenti lakini safari hii watawatuma makomando ili wawadhoofishe. CDM isi underestimate mafisadi, wana mbinu nyingi sana na hasa wakati sisiemu inakaribia kufa inaweza kutupa mateke ya nguvu ikajiiokoa na kuiangamiza cdm.

Uzuri sisiemu imemtosa fisadi ze mkapa ambaye kwa mipango ya kifisadi ni kichwa, hawa wengine wa jeykey ni machina

Mchungeni fisadi Mkono atakuwa na malengo mazito.
 
Kutokana na chama cha mapinduzi kuchuja wagombea wa nafasi mbali mbali za kisiasa na kuwa acha wengi wao kutokana na sababu mbali mbali zikiwemo za utovu wa nidhamu na kutaka madaraka zaidi ni dhahiri shahiri kuwa watu hao waliomwagwa wana jiandaa kuhamia vyama vya upinzani na hasa hasa cdm. Mwenyekiti wa ccm ameisha wala go ahead yakuhama kwenye chama hicho dume na tawala.

Kwa muktadha huo basi hii haina Shaka kuwa vyama vya upinzani vitachukua oil CHAFU ya ccm km ilivyo Ada Yao siku zote.

Waliopendekezwa kugombea wote ndiyo oil chafu! Mwenyekiti mwenyewe oil chafu, itakuwaje akachagua cream?
waliotemwa wanajulikana si wa kundi la Kikwete na Lowassa, lakini tunawaomba wabaki huko kukimaliza kabisa!
 
Oil chafu ina matumizi mengi sana.

Kumbe Ndio maana vijana kutoka familia maskini mmewaondoa kwa sababu wao ni oil chafu , yaaani wameshatumika na sasa ni mew do aw kifamilia? Kwa hiyo Kama hujabahatika kuzaliwa na familia za vigogo wa CCM wewe ni oil chafu na hutakiwi Ndani ya CCM ?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom