OIC: Mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo

Burma's President Thein Sein announced on Monday that he will not allow the Organization of Islamic Cooperation (OIC) to open an office in the country

"We came out to show that we are against the opening of an OIC office in Burma," said U Latkhana, a leading monk from the Bawdimandai Monastery in Pakokku, Sagaing Division. "We don't accept the opening of an OIC office in Burma, either in Rangoon or in Sittwe."

Sosi:
President Yields to Protesters, Says No to OIC Office | The Irrawaddy Magazine
 
burma-mandalay-oic-305
 
Dah... yasemwayo ni kweli.. basi tusijiunge na OIC.. tujiunge na rome basi....

Acheni ushamba... angalieni pros and cons kwa umakini kabla ya kubwatuka... Una ushahidi upi kuwa OIC ndio iliomfundisha abuu qatada? Unaleta u-CIA bandia hapa?
 
badala ya kujibu hoja mnaleta porojo. Hizi ni dalili za kuishiwa, hamna kinachowafanya mpinge ila ni udini unawasumbua.

Mkuu hapa hamna udini kama unavyodai ww!
Umeuliza uwepo wa Vatican na ubalozi wake nchini na bila kufikiri na kukalilishwa huko misikitini ambapo mnaambiwa Vatican ni sawa na OIC,
sasa na mimi nimekuuliza vipi kuhusu nchi za kipepo kama Oman, syria, Sudan, Iran nazo balozi wake huteuliwa na serkali au Ponda?
 
Mkuu punguza jazba, sidhani kama kuna historia yoyote inayoonesha kuwa nchi zotezilizo wanachama wa OIC zina vurugu/zinaua/zinatekeleza ubaguzi baina ya wananchi wake. Twendeni tu hatua kwa hatua, tujenge hoja, tuone faida na hasara zinazoweza kutokana na kujiunga na OIC. Binafsi naona kama tunaweza kuwahukumu vibaya wenzetu wa imani ya kiislamu katika ombi lao la kjiunga na OIC. Je tunazosababu za msngi za kukataa kujiunga na OIC? tuanayo mifano hai ya kukataa kujiunga na OIC. Napata shida kidogo pale ambapo wakristu tunaposema kujiunga na OIC ni kkuifanya Tz kuwa nchi ya kidini na tunasahau kuwa hicho kitendo tu cha kusema hivyo bila ya kutoa sababu za kuukataa mpango huo tayari ni udini.

Unataka historia gani? Misri,Syria,Libya,Tunisia na wengine kama wapo hiyo mifano haitoshi? Una uhakika gani kama Tanzania tutakuwa kama unaofikiri wamefanikiwa kwa kujiunga na OIC na siyo kuwa waanga kama niliowataja hapo juu.TATIZO HAPA NI MFUMO ''DINI SIASA''inayoendelezwa na OIC. hapa tulipo OIC bado haijafanya kazi tunatafutana ikianza si ndo itakuwa kazi kwelikweli?
 
Mbona kichwa cha habari hakiendani na content? Maelezo yanaonyesha uzuri wa oic lakini ww kwa chuki zako umeamua kupotosha

unaogopa kuelewa,amekueleza madhumuni ya OIC na malengo yake na je nchi kama yetu yanafaa?na mambo yaliyotokea Zanzibar na Mbagala dares salaam,uzuri wenyewe ni upi kwa nchi kama yetu?Msituharibie nchi
 
wasiotaka tz ijiunge na na oic wana akili timamu kweli?

wana akili kwa sababu watanzania hatuhitaji kuikomboa Jerusalem kutoka kwa waisrael wala kulifuta taifa hilo kutoka kwenye uso wa dunia,ukipenda wahi Pakistan
 
Kuna nchi nyingi hapa duniani zimejiunga na oic na wala hakuna matatizo,kwanini watanzania mna chuki? Acheni oic iwanufaishe watanzania hasa wananchi maskini
si suala la chuki malengo na mazimio ya kuanzishwa kwake yanaendana na malengo ya watanzania?una haja ya kuwafuta waisrael kwenye uso wa dunia na kuupinga mfumo kristu kama malengp yake yanavyowekwa wazi?je malengo yake na matukio ya hivi karibuni ya Uamsho Zanzibar na uchomaji wa makanisa Zanzibar na Mbagala hayana muingiliano?
 
Tatizo liko wapi hapo?

Tupe na historia ya kuanzishwa Umoja wa Mataifa.

Umeshatupa historia ya OIC lakini sijaona tatizo lolote kuhusu hiyo historia yao na sijaona huo u mbwa mwitu na ukondoo, mie najuwa kodnoo ni wale waliopotea na wanawekewa wachungaji.

Sasa tupate na ya Umoja wa mataifa, au huwezi?
 
Objectives and Principles
Article 1
The objectives of the Organisation of the Islamic Conference shall be:
1. To enhance and consolidate the bonds of fraternity and solidarity among the
Member States;
2. To safeguard and protect the common interests and support the legitimate
causes of the Member States and coordinate and unify the efforts of the
Member States in view of the challenges faced by the Islamic world in
particular and the international community in general;
3. To respect the right of self-determination and non-interference in the domestic
affairs and to respect sovereignty, independence and territorial integrity of
each Member State;
4. To support the restoration of complete sovereignty and territorial integrity of
any Member State under occupation, as a result of aggression, on the basis of
international law and cooperation with the relevant international and regional
organisations;
5. To ensure active participation of the Member States in the global political,
economic and social decision-making processes to secure their common
interests;
6. To promote inter-state relations based on justice, mutual respect and good
neighbourliness to ensure global peace, security and harmony;
7. To reaffirm its support for the rights of peoples as stipulated in the UN Charter
and international law;
8. To support and empower the Palestinian people to exercise their right to selfdetermination
and establish their sovereign State with Al-Quds Al-Sharif as its
capital, while safeguarding its historic and Islamic character as well as the
Holy places therein;
9. To strengthen intra-Islamic economic and trade cooperation; in order to
achieve economic integration leading to the establishment of an Islamic
Common Market;
10. To exert efforts to achieve sustainable and comprehensive human
development and economic well-being in Member States;
11. To disseminate, promote and preserve the Islamic teachings and values based
on moderation and tolerance, promote Islamic culture and safeguard Islamic
heritage;
12. To protect and defend the true image of Islam, to combat defamation of Islam
and encourage dialogue among civilisations and religions;
13. To enhance and develop science and technology and encourage research and
cooperation among Member States in these fields;
14. To promote and to protect human rights and fundamental freedoms including
the rights of women, children, youth, elderly and people with special needs as
well as the preservation of Islamic family values;
15. To emphasize, protect and promote the role of the family as the natural and
fundamental unit of society;
16. To safeguard the rights, dignity and religious and cultural identity of Muslim
communities and minorities in non-Member States;
17. To promote and defend unified position on issues of common interest in the
international fora;
18. To cooperate in combating terrorism in all its forms and manifestations,
organised crime, illicit drug trafficking, corruption, money laundering and
human trafficking;
19. To cooperate and coordinate in humanitarian emergencies such as natural
disasters;
20. To promote cooperation in social, cultural and information fields among the
Member States....

astante kwa ushahidi mkuu
 
Kuna nchi nyingi hapa duniani zimejiunga na oic na wala hakuna matatizo,kwanini watanzania mna chuki? Acheni oic iwanufaishe watanzania hasa wananchi maskini

"IT comes as a surprise to many Ugandans that our country is a member state of the Organisation of Islamic Conference (OIC). With Christians making up 80% of the population and Muslims accounting for only 12 %, it is indeed a surprise that Uganda belongs to a Muslim body. Delegates from the OIC member states met in Kampala from June 16 to June 20 to discuss issues affecting them. How Uganda found herself in the same block with Arab countries can be traced to one ambitious leader.

He had to find a way to strengthen his weakening political base. He did not look further than the Muslim world, which was sympathetic to his political woes.
The year was 1974, and Idi Amin Dada placed Uganda in the fold of OIC.

His hope was that in any eventuality of war, his brothers in faith would offer their support to ensure his stay in power. It never happened. Instead, when Amin was overthrown in 1979 and Saudi Arabia did the next best thing — they offered him asylum.


He welcomed their offer and enjoyed Saudi Arabia’s hospitality up to the time of his death in 2003. But 29 years after Amin’s overthrow, Uganda is still a member of the OIC. Many Christian leaders are not amused by this, and have tried several times to cut Uganda’s ties with the body."

The OIC summit in Dakar earlier this year decided onthe establishment of a $10b Islamic solidarity fund. Uganda, as a member ofOIC, will be a direct beneficiary of the fund.

** UP TO NOW UGANDA is STILL a MEMBER of OIC; It is not a religious Organization really, but a POLITICAL one with hefty financial Support
I think only 57 countries in the world are Members of OIC...
 
OIC, MBWA MWITU ALIYEVAA NGOZI YA KONDOO.

Jumuiya ya nchi za kiislam OIC[ organization of islamic conference] iliasisiwa mwaka wa 1969,

jumuiya hii ilianzishwa nchini MOROCCO tarehe 21Agust 1969 AD, au 12 Rajab 1389 H,

*. Jumuiya hii ilianzishwa kutokana na mashabulizi ya ISRAEL yaliyofanywa dhidi ya nchi za kiarabu, na kutekwa kwa mji wa YERUSALEM,[ AL-QUDA], katika vikao viwili kile cha MOROCCO tarehe 25 september 1969, na kile cha mjini JEDDAH cha mwezi machi 1970 kiliweka maazio ya kuuteuwa kwa muda mji JEDDAH kuwa makao makuu ya muda ya OIC ambapo kikao hicho kiliazimia kuwa MAKAO MAKUU YA KUDUMU YA OIC YATAKUWA NI YERUSALEMU.

Moja ya kipaumbele kikuu na lengo kuu la kuasisiwa kwa OIC ni kuikomboa YERUSALEMU kutoka mikononi mwa ISRAELI pamoja na msikiti MTAKATIFU WA AL-AQSA ulio sehemu muhimu kwa imani ya kiislam kwani AL-AQSA ndiyo QIBLA cha kwanza cha waislam kabla hakijageukia AL-KAABA. hivyo yaliwekwa maazimio matatu muhimu,

1. kujijengea uwezo kwa kufanya yafuatayo. [a] kujenga mshikamano miongoni mwa waislam,
kujenga mashirikiano ya jamii nzima ya kiislam,
[c] kuupigania uislam kwa kulindamaeneo MATAKATIFU pamoja kulinda vitabu VITAKATIFU,

2. kuunganisha nguvu ili [a] kupigania sehemu TAKATIFU.
kuunga mkono harakati za WAPALESTINA KUJIKOMBOA,
3.Kufanya kazi kwa pamoja
[a] kuondoa ubaguzi miongoni mwa waislam na
kueneza dini na utamaduni wa kiarabu. nk.

ili kufanikisha azma na malengo ya jumuiya vilianzishwa vyombo mbalimbali vya kusimamia shughuli zote kulingana na vipaumbele husika, ili kuyafikia malengo hayo KIKAO KILIGUSIA maeneo haya. ELIMU, SIASA, UCHUMI na DINI , mambo haya yaliwekwa chini ya KATIBU MKUU ili kuhakikisha kuwa malengo yanafanikiwa
1-KUHAKIKISHA KUWA ZINAANZISHWA SHULE ZA KIDINI[MADRASSA ] zitakazo toa ELIMU ya DINI-SIASA kazi kubwa ya shule hizi ni kujenga uadui kati ya UTAWALA WA KIZAYUNI[ISRAEL ] uliolikalia kwa nguvu eneo takatifu la yerusalem ulipo mskiti wa AL-AQSA , mbinu hii imesaidia sana kwani baada vijana wengi kufunzwa katika MADRASA hizi za DINI SIASA[ UDINI] tumewashuhudia wakitamka hadharani kuwa UTAWALA WA KIZAYUNI UNAPASWA KUFUTWA KWENYE RAMANI YA DUNIA NA PALESTINA LIWE TAIFA HURU,

chini ya mwamvuli huu mara kadhaa tumewasikia wahubiri wadini ya kiislam kama vile ABOOD MOHAMEDY ROGO, ANWAR AL AWALAKI, ABU QATADA, na wengineo wakiwahamasisha vijana wa kiislam kwenda PALESTINA kuwapigania ndugu zao.
Kivuli hiki cha DINI SIASA kimeendelea kukua hasa pale mataifa ya MAGHARIBI kuonekana wakiingua mkono ISRAEL, mafundisho haya ya dini siasa sasa yanazigusa hata nchi hizi zinazoonekana kuwa ni washirika wa utawala wa KIZAYUNI,
katika mafundisho haya ya DINI SIASA yaliyoasisiwa na OIC yamefanikiwa kuzalisha makundi ya KIGAIDI na MISIMAMO MIKALI YA DINI-SIASA[UDINI] ndiyo maana nchi ambazo zilikuwa za mwanzo kujiunga na jumuiya hii kwa sasa zinakabiliwa na mfumuko wa siasa kali za udini,
UDINI ulionwa kuwa ndiyo njia pekee ya kuyayafikia malengo, yaani kuwafundisha vijana wa kiislam kuwa ADUI YAO NI YULE ANAYEWANYIMA HAKI YA KUWA NA YERUSALEM.
hapa ndipo yalipoanza madai ya kile kinachoitwa MFUMO KRISTO, yaani washirika wa utawala wa MAZAYUNI
unaowanyima haki waislam, kwa kutumia mbinu za hali ya juu za kutengeneza mazingira wamefanikiwa kuziteka nyoyo za wengi.

Madhumuni ni mamoja tuu, KUKUSANYA NGUVU NA KUIKOMBOA YERUSALEM ILI IWE NI MAKAO MAKUU YA OIC.
hata hapa kwetu mafundisho haya tayari yamekwisha kupenyezwa.



"IT comes as a surprise to many Ugandans that our country is a member state of the Organisation of Islamic Conference (OIC). With Christians making up 80% of the population and Muslims accounting for only 12 %, it is indeed a surprise that Uganda belongs to a Muslim body. Delegates from the OIC member states met in Kampala from June 16 to June 20 to discuss issues affecting them. How Uganda found herself in the same block with Arab countries can be traced to one ambitious leader.

He had to find a way to strengthen his weakening political base. He did not look further than the Muslim world, which was sympathetic to his political woes.
The year was 1974, and Idi Amin Dada placed Uganda in the fold of OIC.

His hope was that in any eventuality of war, his brothers in faith would offer their support to ensure his stay in power. It never happened. Instead, when Amin was overthrown in 1979 and Saudi Arabia did the next best thing - they offered him asylum.


He welcomed their offer and enjoyed Saudi Arabia's hospitality up to the time of his death in 2003. But 29 years after Amin's overthrow, Uganda is still a member of the OIC. Many Christian leaders are not amused by this, and have tried several times to cut Uganda's ties with the body."

The OIC summit in Dakar earlier this year decided on the establishment of a $10b Islamic solidarity fund. Uganda, as a member of OIC, will be a direct beneficiary of the fund.

** UP TO NOW UGANDA is STILL a MEMBER of OIC; It is not a religious Organization really, but a POLITICAL one with hefty financial Support
I think only 57 countries in the world are Members of OIC...
 
OIC, MBWA MWITU ALIYEVAA NGOZI YA KONDOO.

Madhumuni ni mamoja tuu, KUKUSANYA NGUVU NA KUIKOMBOA YERUSALEM ILI IWE NI MAKAO MAKUU YA OIC.

Nakubaliana na wewe (sio kwasababu nime kuelewa) kwa sababu maelezo yako yana onyesha kama una pinga uwepo wa OIC TANGANYIKA. Though hujatamka expressly.
 
Back
Top Bottom