Hii article imeandikwa na mkuda mmoja mwenye malengo yake binafsi! Hainiingii akilini Intelligensia ya KGB ya bwana Puttin isilijue hili mpaka ikubali nchi yake ya Russia kuwa miongoni mwa wanachama. Hivi nchi ngapi Africa zimejiunga na OIC hapa Afrika tena nchi ambazo waislamu ni asilimia ndogo sana kama Uganda na Mozambique na je wameathirika na uanachama wao wa OIC? Hebu acheni propaganda zisizo na kichwa wala miguu kwa mambo msiyoyajua:
Wewe mleta hoja kama kweli una uhakika na unachokisema hebu tuletee reliable source hata kama inatokea Vatican nitaikubali! Huna lolote na roho yako ya fitna.
Organisation of Islamic Cooperation - Wikipedia, the free encyclopedia
Member states of the Organisation of Islamic Cooperation - Wikipedia, the free encyclopedia
http://www.oic-oci.org/home.asp
Fuatilia hizo link ujue ukweli kuhusu OIC!
Urusi kujiunga si hoja. Urusi si mfano hata kidogo wa utawsla bora. Ni nchi inayoweza kufanya chochote ili kufanikisha maslahi yake. Inaweza kumuunga mkono yeyote ilimradi inafanikisha makengo yake. Ni kweli Urusi kuna waislamu lakini wanatendewa vibaya kuliko hao ambao hawsjajiunga Oic. Malengo ya kisiasa ya Urusi yanaweza kuifanya kufanya lolote baya na mifano ipo ikbao.