OIC: Mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo

Kuna nchi nyingi hapa duniani zimejiunga na oic na wala hakuna matatizo,kwanini watanzania mna chuki? Acheni oic iwanufaishe watanzania hasa wananchi maskini

rudi kwenye hoja ndugu inaonyesha unaifahamu sana OIC lakini unakwepa kuwasaidia wengine wakaelewa kama unavyoelewa wewe.
 
Objectives and Principles
Article 1
The objectives of the Organisation of the Islamic Conference shall be:
1. To enhance and consolidate the bonds of fraternity and solidarity among the
Member States;
2. To safeguard and protect the common interests and support the legitimate
causes of the Member States and coordinate and unify the efforts of the
Member States in view of the challenges faced by the Islamic world in
particular and the international community in general;
3. To respect the right of self-determination and non-interference in the domestic
affairs and to respect sovereignty, independence and territorial integrity of
each Member State;
4. To support the restoration of complete sovereignty and territorial integrity of
any Member State under occupation, as a result of aggression, on the basis of
international law and cooperation with the relevant international and regional
organisations;
5. To ensure active participation of the Member States in the global political,
economic and social decision-making processes to secure their common
interests;
6. To promote inter-state relations based on justice, mutual respect and good
neighbourliness to ensure global peace, security and harmony;
7. To reaffirm its support for the rights of peoples as stipulated in the UN Charter
and international law;
8. To support and empower the Palestinian people to exercise their right to selfdetermination
and establish their sovereign State with Al-Quds Al-Sharif as its
capital, while safeguarding its historic and Islamic character as well as the
Holy places therein;
9. To strengthen intra-Islamic economic and trade cooperation; in order to
achieve economic integration leading to the establishment of an Islamic
Common Market;
10. To exert efforts to achieve sustainable and comprehensive human
development and economic well-being in Member States;
11. To disseminate, promote and preserve the Islamic teachings and values based
on moderation and tolerance, promote Islamic culture and safeguard Islamic
heritage;
12. To protect and defend the true image of Islam, to combat defamation of Islam
and encourage dialogue among civilisations and religions;
13. To enhance and develop science and technology and encourage research and
cooperation among Member States in these fields;
14. To promote and to protect human rights and fundamental freedoms including
the rights of women, children, youth, elderly and people with special needs as
well as the preservation of Islamic family values;
15. To emphasize, protect and promote the role of the family as the natural and
fundamental unit of society;
16. To safeguard the rights, dignity and religious and cultural identity of Muslim
communities and minorities in non-Member States;
17. To promote and defend unified position on issues of common interest in the
international fora;
18. To cooperate in combating terrorism in all its forms and manifestations,
organised crime, illicit drug trafficking, corruption, money laundering and
human trafficking;
19. To cooperate and coordinate in humanitarian emergencies such as natural
disasters;
20. To promote cooperation in social, cultural and information fields among the
Member States.
 
Haijasomeka. Mada za udini zinakuwa ngumu kuchangia wewe? hasa kwa wale tunaoamini katika utanzania na siyo udini kama wewe.

Labda utanzania wa kufikirika, lakini kama utanzania halisi haya mambo hayakwepeki, dawa ni kutafuta suluhisho tu.
 
Hivi kujiunga na OIC kuna athari gani kwa Tanzania kama nchi ambao serikali yake haina dini bali wananchi wake? Nadhani hakuna haja ya kuumiza vichwa kwa suala ambalo kujiunga kwake hakuna athari yoyote na naamini hakuna lazima kutakuwepo na faida japo faida hizo haziwezi kuonekana moja kwa moja kwa upande wa waumini wasiyo waislamu.

inawezekana hakuna athari lakini OIC siyo nchi mbona nchi nyingi tu za Kiisalmu zina ubalozi na mahusiano na Tanzania bila hofu?

Kwa nini Taasisi au Jumuia tu inalazimisha nchi nzima iwe mwanachama wake?
 
thread ina hoja zinazotakiwa kujibiwa lakini baadhi wanakimbilia dini. Hii ndio sababu kubwa wengi wanaweza kupotoshwa
 
Waisilamu tumeshayaona makucha yenu. Jiungeni na dini yenu ya OIC kma watu binafsi. Sis msitushirikishe hatutaki. Hamna jipya zaidi ya kufurahia mauaji, ubaguzi, vurugu na HIla. LOL.!. Tanzania haitakuwa chini ya dini ya kiislam wala OIC. Hayo ya kwenu msitushirikishe. Endeleen ina madrasa yenu lakin msitke kutuburuza w ote tuwe kama ninyi. Inatosha. Mwenye macho haambiwi tazama.

Mkuu punguza jazba, sidhani kama kuna historia yoyote inayoonesha kuwa nchi zotezilizo wanachama wa OIC zina vurugu/zinaua/zinatekeleza ubaguzi baina ya wananchi wake. Twendeni tu hatua kwa hatua, tujenge hoja, tuone faida na hasara zinazoweza kutokana na kujiunga na OIC. Binafsi naona kama tunaweza kuwahukumu vibaya wenzetu wa imani ya kiislamu katika ombi lao la kjiunga na OIC. Je tunazosababu za msngi za kukataa kujiunga na OIC? tuanayo mifano hai ya kukataa kujiunga na OIC. Napata shida kidogo pale ambapo wakristu tunaposema kujiunga na OIC ni kkuifanya Tz kuwa nchi ya kidini na tunasahau kuwa hicho kitendo tu cha kusema hivyo bila ya kutoa sababu za kuukataa mpango huo tayari ni udini.
 
Jukumu la OIC kwa katiba yake linaweza kuwa ni kuwasaisadia Waislamu lakini sharti nchi nzima iwe mwanachama wake.

Hii ni tofauti na taasisi za kikristo zinazotoa misaada bila sharti hilo. Sharti la OIC ni kama linakwamisha maendeleo ya waislamu, kwa mfano, kama OIC inataka kuwajengea shule waislamu au hosptali hakuna anayewazuia lakini wao wanasema hatuwasaidii waislamu wenzetu hadi nchi yote hata ya wasio waislamu wajiunge na sisi, who is a looser.
 
Nchi wanachama wa oic duniani ni pamoja na uganda,kenya,afrika kusini,ghana,liberia,uingereza,spain na namibia.zipo nyingi sana.marekani huwa wanakaribishwa kama watazamaji
 
Mkuu punguza jazba, sidhani kama kuna historia yoyote inayoonesha kuwa nchi zotezilizo wanachama wa OIC zina vurugu/zinaua/zinatekeleza ubaguzi baina ya wananchi wake. Twendeni tu hatua kwa hatua, tujenge hoja, tuone faida na hasara zinazoweza kutokana na kujiunga na OIC. Binafsi naona kama tunaweza kuwahukumu vibaya wenzetu wa imani ya kiislamu katika ombi lao la kjiunga na OIC. Je tunazosababu za msngi za kukataa kujiunga na OIC? tuanayo mifano hai ya kukataa kujiunga na OIC. Napata shida kidogo pale ambapo wakristu tunaposema kujiunga na OIC ni kkuifanya Tz kuwa nchi ya kidini na tunasahau kuwa hicho kitendo tu cha kusema hivyo bila ya kutoa sababu za kuukataa mpango huo tayari ni udini.

Hali tete ya nchi kwa sasa ikiwemo mihadhara ya kukashifu dini zingine na kuvunja makanisa inaonyesha kuwa Ukiristo na Uislamu unazidi kuwa mbalimbali kuliko huko nyuma, mambo yafutayo yatajitokeza.

- MOU itavunjwa kwa mazingira ya sasa na kukidhi malalamiko ya waislamu inagwa taasisi kama Aghakan za kiislamu nazo zimo kwenye MOU.
- Mahakama ya kadhi na OIC itabaki kuwa suala ndani ya waislamu.
- Misamaha ya kodi kwenye taasisi za dini itafutwa huko twendako ili kuendelea kuiweka serikali mbali na taasisi za dini kwani haina dini.
- Taasisi za dini zinaweza kukataa kupokea waumini wa dini nyingine, mashuleni, mahospitali na kwenye ajira ya sekta binafsi ambako mkono wa serikali hauna nguvu.
- na mambo mengine ya kidini
 
Serikali imewahi kutamka kuwa imefanya utafiti wa kina na kubaini kuwa hakuna madhara kwa tanzania kujiunga na oic kwa hiyo tuache uchadema na kejeli za kijinga humu ndani
tanzania kama tanzania, haina dini! hakuna kujiunga OIC wala kokote kunakobase na dini yoyote. jiunge mwenyewe wewe kama wewe! HATUTAKI kuanzishiwa vurugu zisizo na vichwa wala macho, coz what i understand about moslems ni FUJO NA VURUGU, period! popote walipo lazima kuwe hakuna AMANI!
 
kumbeeee....neno mfumo kristo lina link na Zionism??? haimaanishi maaskofu na kanisa bali nchi kutoi-support Palestina.
 
Nchi wanachama wa oic duniani ni pamoja na uganda,kenya,afrika kusini,ghana,liberia,uingereza,spain na namibia.zipo nyingi sana.marekani huwa wanakaribishwa kama watazamaji

Hii hoja inatumiwa na waislamu wengi kuwashawishi wasio waislamu ni haki yao lakini imeshindwa kujibu hoja ya thread hii. Ni sawa na kusema kwa sababu uganda wako vitani na LRA na sisi tuingie vitani .
 
kumbeeee....neno mfumo kristo lina link na Zionism??? haimaanishi maaskofu na kanisa bali nchi kutoi-support Palestina.

Mwalimu Nyerere (Mkrito mkatoliki) alifunga na kumfukuza balozi wa Israel nchini katika kupinga manyanyaso ya waisrael dhidi ya wapalestina na hadi leo hatuna ubalozi wa Israel nchini kwani msimamo wetu haujabadilika. Nyerere alisema wazi anatambua kuwepo taifa la Palestina.
 
kumbeeee....neno mfumo kristo lina link na Zionism??? haimaanishi maaskofu na kanisa bali nchi kutoi-support Palestina.

Mwalimu Nyerere (Mkrito mkatoliki) alifunga na kumfukuza balozi wa Israel nchi katika kupinga manyanyaso ya waisrael dhidi ya wapalestina na hadi leo hatuna ubalozi wa Israel nchini kwani msimamo wetu haujabadilika.
 
Hii article imeandikwa na mkuda mmoja mwenye malengo yake binafsi! Hainiingii akilini Intelligensia ya KGB ya bwana Puttin isilijue hili mpaka ikubali nchi yake ya Russia kuwa miongoni mwa wanachama. Hivi nchi ngapi Africa zimejiunga na OIC hapa Afrika tena nchi ambazo waislamu ni asilimia ndogo sana kama Uganda na Mozambique na je wameathirika na uanachama wao wa OIC? Hebu acheni propaganda zisizo na kichwa wala miguu kwa mambo msiyoyajua:

Wewe mleta hoja kama kweli una uhakika na unachokisema hebu tuletee reliable source hata kama inatokea Vatican nitaikubali! Huna lolote na roho yako ya fitna.

Organisation of Islamic Cooperation - Wikipedia, the free encyclopedia

Member states of the Organisation of Islamic Cooperation - Wikipedia, the free encyclopedia

http://www.oic-oci.org/home.asp

Fuatilia hizo link ujue ukweli kuhusu OIC!
 
Hivi kujiunga na OIC kuna athari gani kwa Tanzania kama nchi ambao serikali yake haina dini bali wananchi wake? Nadhani hakuna haja ya kuumiza vichwa kwa suala ambalo kujiunga kwake hakuna athari yoyote na naamini hakuna lazima kutakuwepo na faida japo faida hizo haziwezi kuonekana moja kwa moja kwa upande wa waumini wasiyo

Umeambiwa malengo ya OIC yako kidini zaidi na siasa za mashariki ya kati. Sasa kwanini tujiunge sisi tusiounga mkono siasa hizo? Waislamu kama waislamu wajiunge na taasisi zao lakini Tanzania kujiunga ni.kutowatendea haki wasiounga mkono OIC. Maswala ya kidini yahusishe taasisi za kidini si Tanzania. Tanzania ni.zaidi ya uislamu au ukristo na dini zingine. Tatizo la waislamu ni kuwa secularism kwao ni ndoto. Dunia haiwezi tena kuongozwa na matakwa ya dini ikiwepo Tanzania. Ninapofika hapa ndipo nakuwa na mashaka na utume wa Muhamad. Alitumia dini kutawala na kuwa maarufu. Je, bila kuwa na nguvu ya serkali utume wake ungekuwa na muendelezo wowote? Je, asingekuwa kiongozi wa siasa angekuwa mtume mpaka leo? Kwanini alishindwa kutofautisha dini na siasa? Je, si kwamba utume ulimpa utawala? Je, siyo makosa haya aliyoyafanya yanayowaandama waislamu mpaka leo? Je, huu haukuwa msukumo.wa tamaa kuliko utume wa Mungu?
 
Ninavyojua ni kuwa Tanzania ni nchi isiyofungamana na upande wowote na ni mwanachama wa Non alligned movement,sasa haya mambo ya kulazimishana kujiunga na upande ambao lengo lake kuu ni kuifuta Israel kwenye ramani ya Dunia sisi yanatuhusu vipi..?? Au huo Ugomvi wao wapalestina na waisraeli unatuathiri au kutufaidisha vipi sisi kama watanzania..??Tuamke,na tusilazimishane kufikiri katika masuala yahusuyo imani kwa nguvu.Na kwa nini yote haya hatukuwahi kuyasikia wakati wa utawala wa Awamu ya kwanza na ya tatu..??
 
tanzania kama tanzania, haina dini! hakuna kujiunga OIC wala kokote kunakobase na dini yoyote. jiunge mwenyewe wewe kama wewe! HATUTAKI kuanzishiwa vurugu zisizo na vichwa wala macho, coz what i understand about moslems ni FUJO NA VURUGU, period! popote walipo lazima kuwe hakuna AMANI!

Wapo waislamu wapenda amani na hawasukumwi na imani kutoa hoja wako huru kwa mawazo yao kama MOHAMED MTOI au Nyerere ajaye.
 
Hivi kujiunga na OIC kuna athari gani kwa Tanzania kama nchi ambao serikali yake haina dini bali wananchi wake? Nadhani hakuna haja ya kuumiza vichwa kwa suala ambalo kujiunga kwake hakuna athari yoyote na naamini hakuna lazima kutakuwepo na faida japo faida hizo haziwezi kuonekana moja kwa moja kwa upande wa waumini wasiyo

Umeambiwa malengo ya OIC yako kidini zaidi na siasa za mashariki ya kati. Sasa kwanini tujiunge sisi tusiounga mkono siasa hizo? Waislamu kama waislamu wajiunge na taasisi zao lakini Tanzania kujiunga ni.kutowatendea haki wasiounga mkono OIC. Maswala ya kidini yahusishe taasisi za kidini si Tanzania. Tanzania ni.zaidi ya uislamu au ukristo na dini zingine. Tatizo la waislamu ni kuwa secularism kwao ni ndoto. Dunia haiwezi tena kuongozwa na matakwa ya dini ikiwepo Tanzania. Ninapofika hapa ndipo nakuwa na mashaka na utume wa Muhamad. Alitumia dini kutawala na kuwa maarufu. Je, bila kuwa na nguvu ya serkali utume wake ungekuwa na muendelezo wowote? Je, asingekuwa kiongozi wa siasa angekuwa mtume mpaka leo? Kwanini alishindwa kutofautisha dini na siasa? Je, si kwamba utume ulimpa utawala? Je, siyo makosa haya aliyoyafanya yanayowaandama waislamu mpaka leo? Je, huu haukuwa msukumo.wa tamaa kuliko utume wa Mungu?

Katiba ya OIC ndio ina athari kwa Tanzania.
 
Hii article imeandikwa na mkuda mmoja mwenye malengo yake binafsi! Hainiingii akilini Intelligensia ya KGB ya bwana Puttin isilijue hili mpaka ikubali nchi yake ya Russia kuwa miongoni mwa wanachama. Hivi nchi ngapi Africa zimejiunga na OIC hapa Afrika tena nchi ambazo waislamu ni asilimia ndogo sana kama Uganda na Mozambique na je wameathirika na uanachama wao wa OIC? Hebu acheni propaganda zisizo na kichwa wala miguu kwa mambo msiyoyajua:

Wewe mleta hoja kama kweli una uhakika na unachokisema hebu tuletee reliable source hata kama inatokea Vatican nitaikubali! Huna lolote na roho yako ya fitna.

Organisation of Islamic Cooperation - Wikipedia, the free encyclopedia

Member states of the Organisation of Islamic Cooperation - Wikipedia, the free encyclopedia

http://www.oic-oci.org/home.asp

Fuatilia hizo link ujue ukweli kuhusu OIC!

Urusi kujiunga si hoja. Urusi si mfano hata kidogo wa utawsla bora. Ni nchi inayoweza kufanya chochote ili kufanikisha maslahi yake. Inaweza kumuunga mkono yeyote ilimradi inafanikisha makengo yake. Ni kweli Urusi kuna waislamu lakini wanatendewa vibaya kuliko hao ambao hawsjajiunga Oic. Malengo ya kisiasa ya Urusi yanaweza kuifanya kufanya lolote baya na mifano ipo ikbao.
 
Back
Top Bottom