Ohhhh! Nooo! Prison Break imeishaaaa

Komamanga

JF-Expert Member
May 2, 2009
221
17
Da kweli wala sijafurahi sema ndio maana sikuwa director, ilikuwa ni series nzuri mno na nafikiri wengi wetu tuliipenda sana ila ndio hatuna ujanja na kiukweli director alijitahidi sana na kwa hakika imekwisha vizuri.

Ila it was among the marvelous television series acha tuone sasa director atakuja na nini kimpya.

Kwa kuangalia episode ya mwisho gonga hapa chini

Killing Your Number - Prison Break - TV Shack
 
Foreva?! PB Imependwa sana maybe atakuja na series nyingine nzuri huyo directa.

Yeah Belinda maana kama SCOFIELD kafa sasa hapo sidhani kama kuna kitu kitaendelea. Yeah, hopefuly directa atakuja na kitu kizuri zaidi
 
Yeah Belinda maana kama SCOFIELD kafa sasa hapo sidhani kama kuna kitu kitaendelea. Yeah, hopefuly directa atakuja na kitu kizuri zaidi
jamani imeisha vipi? kwani season 4 si ina epsode 22,imekuwaje inaishia epsode ya 21?,sijaweza kuingalia bado ndio nai-download ipo 79% dah sijui nitapata wapi show kama PB maana ilinishika kisawa sawa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom