digger2002tz
Member
- Mar 12, 2011
- 14
- 0
....mapenzi ya kwenye tamthilia hayo:tongue:....
Tueneshe na kiwiliwili..maana watu huaga wanafunika na mto usoni kisha wanaendelea na utaratibu kama kawa...:bounce:
Ndo kibinadamu hivo bi mkubwa..we unadhania kila mwanaume ata-release wapi stress?He kumbe! jamani wanaume mna mambo
Baba umenipa raha asubuh neno loketo-dah rahaamhh hilo pua kama Loketo:lol:
ndo mana nakupenda susy mana unavi2ko?du kama kidume ckupend ila nakubali coment na pia we n kidume mwenzangudomo ka kapu la viazi vitamu!!
Ulevi huo jamani!mbona mnalewa sana!simaanishi pombe!ulevi wa mapenzi!wadau nini tiba!TUJADILI!
amefanana na yule mnenguaji wa siku nyingi wa African stars band.