Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,272
- 1,035
ha ha ha ha!pamoja na hilo mkuu pia kuna aina ya matukio hayaitaji presence ya Raisi hata kidogo otherwise tunakuwa too cheap.... mimi ningeunga mkono ningemwona mkulu anapokea msaada wa kuanzisha kiwanda cha hayo ma Yebo yebo (if not hizo tukutuku) bongo .... not kupokea maYeboYEBO bana
UKIKUBALI KUOLEWA SHARTI USILALE NA CHUPI.......!
habari ndiyo hiyo