Oh! Brother Lissu where art thou?

status quo

Member
May 6, 2011
87
38
kwakweli sina budi kukiri kuwa uwepo wa Tundu lissu bungeni ni muhimu sana, jana werema kashinda kirahisi mno.jamaa yuko wapi?
 
kwakweli sina budi kukiri kuwa uwepo wa Tundu lissu bungeni ni muhimu sana, jana werema kashinda kirahisi mno.jamaa yuko wapi?
Magamba walijua hiyo ndio maana wakaamua kumchelewesha kwenye kesi isiyokuwa na kichwa tumbo wala miguu.Yupo singida kwenye kesi waliomfumfungulia.Shame on Magamba's.
 
kwakweli sina budi kukiri kuwa uwepo wa Tundu lissu bungeni ni muhimu sana, jana werema kashinda kirahisi mno.jamaa yuko wapi?

kaka si unajua yale majambazi (CCM) yamempa kesi ya kishetani kule singida ili yampotezee mda na badae ikibidi yamfanye ushetani kama yalivyomfanyia lema. Lakini naamin Mungu atamsaida kamanda wetu arudi mjengoni ili azidi kuyaibisa haya haya ma-agents ya shetani( magamba) bungeni.
SOLIDARITY FOREVER
TOLERANCE GIVES POWER
 
Unajua huu upuuzi wa kuwashtaki shtaki wabunge,wanakuwa hawashiriki kwenye kazi zao kikatiba nadhani uwekewe utaratibu mpya.
Wakati wa bunge,mbunge anapaswa kuwa bungeni na kama kuna jambo lolote ambalo linaweza kumzuia kufika bungeni na pia linaloweza kuahirishwa basi liahirishwe mpaka baada ya vikao vya bunge!
 
kwakweli sina budi kukiri kuwa uwepo wa Tundu lissu bungeni ni muhimu sana, jana werema kashinda kirahisi mno.jamaa yuko wapi?

Jamaa kesho atakuwepo mjengoni, now yupo safarini kuelekea mjengoni. Hukumu ya Kesi yake ni mpaka tarehe 27.04.2012
 
Back
Top Bottom