Fafanua bwana.............Kijiti pia kina punguza nguvu za kiume....

Labda Serengeti lager... Lakini Safari ni mkuyati tosha... na usije jaribu Konyagi na red bull kama huna kidate, manake utaishia kumaliza sabuni...Pombe inapunguza nguvu za kiume
Aaaaah Mama Mia,
Hamna kingine cha kuacha isipokuwa hiyo?
VINGINE SIRI YETU MIMI NA WEWE KAMA UTANIWEZA!!!!
Dear all,
hii ni kwa wale wenye mchezo wa kunywa sehemu zenye amani napenda kuwaonya kuweni makini na sehemu hii inaitwa lilian garden bar iko karibu na kwa warioba!!!ukuiiona utaona sehemu ya maana ila mambo ya ajabu yanafanyika pale!!!
nilikuwa nikinywa na marafiki zangu gafla nikaondoka na kuahidi kurudi muda si mrefu ,niliporudi nikakutawameenda kuwadai na kuwalazamisha walipe boss anataka kuondoka na pesa ,,nilipowauliza nikakuta wameambiwa nadaiwa 76,000 tofauti na ukweli halisi!!!akwa mwenzangu amelipa nilipomuuliza muhudumu mbona nilishalipa za mwanzoni akajibu kamuulize boss wangu!!ameshaondoka!!sikuwa na jibu,,nilipomuuliza yule mwanamke alijibu kwa matusi na kusema hizo ndio deni lako!!!nilibishana nao na kuwaonyesha zilizolipwa bahati mbaya mhudumu alikubali na bosi wake sijui alipaata wapi ile bill!!!
kama kawaida nilipouliza nikaambiwa hii ndio tabia ya huyo muhusika na hivyo siku nyingine muwe makini !!lingine nikashauriwa kuna wakati mwingine wanaweza kuwepo wahuni anajifanya amekutumia bia ,baadae unafwata na kuambiwa alieagiza ameondoka naomba bill yangu!!!hivyo kama mnakunywa toa hela waombe risiti utadaiwa na kuacha chupi usipokuwa makini kwa usichokunywa
cheers
Zaidi inasaidia wengi kubanjua amri ya sitaKWANGU =INANIONGEZEA NGUVU NA HAMU YA NANIIIIII
KAMA UKO INAPUNGUZA POLE!!!!KUNYWA W****KI
Kuna mkoa nilikwenda sikumbuki upi, wanakunywa finished bottles hazitolewi wanaweka chini ya miguu. ukimaliza wahesabu chupa tupu walipa!
Na Mkoa mwingine, nikaona wanahesabu vizipo ukinywa unaweka kizipo mfukoni. ukimaliza wahesabu
Waiter akija na kizibo chake ataeleza kakitoa wapi?
NA KIZIBO CHA BIA ZA KOPO WANAWEKA WAPI MKUU???!!!!
AVACHE SANA
kaka wewe uchumi wa nchi nsi utashuka watu wakiacha pombe maana kodi budget yetu inategemea bia zaidi labda ndo maana mambo hayaendi wakiongeza budget wanapandisha bei ya bia ku cover, na ajira hasa maeneo ya sinza si ndio basi tena tutaongeza changudoa mtaani yaani tuache ya kaisari na ya Mungu tumpe Mungu la sivyo kutokee ugonjwa wa bia kama mafua ya ndege vile
Ogopeni: Lilian Garden Bar Mikocheni
--------------------------------------------------------------------------------
Quote:
Originally Posted by Yo Yo
Pombe inapunguza nguvu za kiume
Hii kiboko, ehe inapunguza vipi!!!
KWANGU =INANIONGEZEA NGUVU NA HAMU YA NANIIIIII
KAMA UKO INAPUNGUZA POLE!!!!KUNYWA W****KI
Dear all,
hii ni kwa wale wenye mchezo wa kunywa sehemu zenye amani napenda kuwaonya kuweni makini na sehemu hii inaitwa lilian garden bar iko karibu na kwa warioba!!!ukuiiona utaona sehemu ya maana ila mambo ya ajabu yanafanyika pale!!!
..................!
kama kawaida nilipouliza nikaambiwa hii ndio tabia ya huyo muhusika na hivyo siku nyingine muwe makini !!l
..............!