Ogopeni: Lilian Garden Bar Mikocheni

All of the sudden wanywaji wote hawataweza kuacha kunywa bia!!!! ???? Ila tu kwa kiwanda cha bia au bidhaa yoyote ni kungalia both domestic and foreign market demand and supply. Kwa mfano kama domestic market ya bia TZ is dominant then mnywaji akiacha ataiathiri demand and supply. Sasa wenzetu ili kuvimaliza viwanda vya bia Tz ni kujiuliza je tukiacha wateja domestic je soko la nje vipi???? Kama TBL na Serengeti dominate our market then wote tuungane tuwamalize. Kabla ya kuwamaliza tuangalie our domestic revenue ambayo partly inatokana na kodi zetu je tutafika bila bia??? Au ndo tutaongeza size ya bakuli la ombaomba kwa wahisani kama mzee matonya vile!!!! Shame!!!

Cha msingi kama unakamata bia yako, lipa kwanza. Ni sehemu nyingi za starehe dar hususani Bar, Groceries and Pubs wana mitindo ya fake bill. Kuondokana na hawa wahudumu na owners wachwara wewe agiza kama mlivyo then mwambie nipe bill and foot it instantly, kama mtaongeza then mtindo ni ule ule. Pia kwa zile sehemu za wauza pombe zilizokithiri kwa tabia ya wizi kwa bill achana nazo mwambie na rafiki then baada ya muda atashindwa kwenda sambamba na tra na gharama nyingine so will be obliged to close down. Tza mteja ni mfalme inadidimia.
Ukisema wote twende sehemu reputable kama Moven na kwingineko, si wote tuna uwezo huo. Tunachotaka ni discipline ya sehemu za starehe both to users and providers. Ndivyo nionavyo and cheers wakuu. Mimi na familia yangu hatunywi pombe and we are comfortable!!! Welcome.
 
Na ingine muwe nayo makini ni hii style ya kuweka idadi sawa ya vinywaji lakini mkwenye total wengi huwa hatujumlishi! wanaweka hivi
4 safari 4400
2 kili 2200
3 water 1500
6 soda 3000
2 bava 2600
Total 16700
Wakati bili ya kweli ni 13700 wengi huwa hatujumlishi tunaangalia idadi ya vinywaji tu. Kuwa makini.
 
Hata pale Matungucha-Kimara.
Kuna mhudumu mmoja balaa,mimi juzi nilienda pale na jamaa zangu wawili nikaagiza ngano jamaa maji nikampa noti ya 5,000/= wenzangu waliiona kabisa yule dada akarudi na chenji ya sh.300/= akadai nilimpa 2000 na sio buku tano hizi.
Yaani hawa wahudumu inatakiwa unapo mpa fedha umwambie unaona hii sh. ngapi? na chenji sh. ngapi lasivyo mmh!
 
We kweli ni Mangi. Lol
 
Kuacha pombe........?!!

Washauri kwanza TBL au Serengeti breweries waache kutengeneza bia!

Teh teh mkuu, kichaa katoa wazo...!

Pombe ni kiburudisho maridhawa kikinyweka kwa wakati na kiwango kinachofaa.

Unapenda kuchangia pato la taifa kwa kulipa kodi kupitia vileo.....
Unataka kuwaongezea faida TBL, Serengeti etc...........
Unapenda kuburudika.........

kwani lazima uende maeneo yenye kero? nywea nyumbani kwako utatimiza azma na malengo yako mkuu bila kero wala bughudha!
 
Duuh! Unasubiri hadi ufanyiwe!! Be Proactive, man!! Sababu si kuwepo kwa pombe, bali ni wewe mtumiaji wa pombe.

kaka wewe uchumi wa nchi nsi utashuka watu wakiacha pombe maana kodi budget yetu inategemea bia zaidi labda ndo maana mambo hayaendi wakiongeza budget wanapandisha bei ya bia ku cover, na ajira hasa maeneo ya sinza si ndio basi tena tutaongeza changudoa mtaani yaani tuache ya kaisari na ya Mungu tumpe Mungu la sivyo kutokee ugonjwa wa bia kama mafua ya ndege vile
 
Hiyo ndio raha ya baa. Kinachotakiwa ni wewe mnywaji kuwa makini. Mhudumu mwenyewe mshahara wake hauzidi shs 20,000 kwa mwezi unadhani wanaishije? Mbona mnawatomasa tomasa ****** na matiti hawasemi? Si mnaona raha kutomasa? Wewe mshikeshike mara mbili tatu uone kama hataleta bili zaidi na kwa kuwa mlishajenga urafiki kwa wewe kumtomasatomasa utalipa tu. Ndio raha yake.
 
Hata pale Matungucha-Kimara.
Kuna mhudumu mmoja balaa,mimi juzi nilienda pale na jamaa zangu wawili nikaagiza ngano jamaa maji nikampa noti ya 5,000/= wenzangu waliiona kabisa yule dada akarudi na chenji ya sh.300/= akadai nilimpa 2000 na sio buku tano hizi.
Yaani hawa wahudumu inatakiwa unapo mpa fedha umwambie unaona hii sh. ngapi? na chenji sh. ngapi lasivyo mmh!

....Issue ikaishaje??
 
Na ingine muwe nayo makini ni hii style ya kuweka idadi sawa ya vinywaji lakini mkwenye total wengi huwa hatujumlishi! wanaweka hivi
4 safari 4400
2 kili 2200
3 water 1500
6 soda 3000
2 bava 2600
Total 16700
Wakati bili ya kweli ni 13700 wengi huwa hatujumlishi tunaangalia idadi ya vinywaji tu. Kuwa makini.

Mkuu Mangi hii nilikuwa sijaistukia..Tudondoshee nyingine ..maana wabongo nuksi aisee..!!
 
Hiyo ndio raha ya baa. Kinachotakiwa ni wewe mnywaji kuwa makini. Mhudumu mwenyewe mshahara wake hauzidi shs 20,000 kwa mwezi unadhani wanaishije? Mbona mnawatomasa tomasa ****** na matiti hawasemi? Si mnaona raha kutomasa? Wewe mshikeshike mara mbili tatu uone kama hataleta bili zaidi na kwa kuwa mlishajenga urafiki kwa wewe kumtomasatomasa utalipa tu. Ndio raha yake.

Kutomasa kuniingiaje hapa wajameni?
 
Duuh! Unasubiri hadi ufanyiwe!! Be Proactive, man!! Sababu si kuwepo kwa pombe, bali ni wewe mtumiaji wa pombe.

Hamjalogwa kwa pombe, muache!! kwani TBL au Serengeti wana mkataba na wewe!! Endelea kwanda na cha moto utakiona. Shetani hana urafiki hata ukimbembeleza malipo ni majuto tu, eheheee, kunywa majiiiii
 
Aaaaah Mama Mia,
Hamna kingine cha kuacha isipokuwa hiyo?

VINGINE SIRI YETU MIMI NA WEWE KAMA UTANIWEZA!!!!
 
Re: Ogopeni: Lilian Garden Bar Mikocheni

--------------------------------------------------------------------------------

Acheni pombe mjipunguzie matatizo!

SAVE WATER DRINK BEER!!!!!!!!
 
Kuna mkoa nilikwenda sikumbuki upi, wanakunywa finished bottles hazitolewi wanaweka chini ya miguu. ukimaliza wahesabu chupa tupu walipa!

Na Mkoa mwingine, nikaona wanahesabu vizipo ukinywa unaweka kizipo mfukoni. ukimaliza wahesabu

Waiter akija na kizibo chake ataeleza kakitoa wapi?

NA KIZIBO CHA BIA ZA KOPO WANAWEKA WAPI MKUU???!!!!

AVACHE SANA
 
Yule dada kwa kweli alijidhiirisha alivyokuwa ninja!!!!huu si ustaarbu kabisa
inaitwa

(((lily's garden bar))))
 
....Issue ikaishaje??

Nilimwachia fedha zote yule mhudumu nilimwambia aende akatumie tu nilimweleza wazi yule mhudumu ni pesa ndogo haimfikishi hata Chalinze.
Mnao kwenda pale Matungucha-Kimara kuweni makini lazima umwonyeshe kabisa mhudumu fedha yako na chenji itakayo rudi.
 
Mmmh kwa nini hamkuenda polisi kuripoti?

utajuaje we ashamwambia haimfikishi chalinze!!!mbona hivyo

labda mwenzako hakufikishwa posta alipotaka!!!!mmmghhhh

jf wabaya nyie!@@@
 
Back
Top Bottom