Ogopa sana wala usimwamini mtu/watu mwenye akili/elimu ndogo anafanya kazi zinazohitaji amri pekee

Wild fauna

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
461
189
Ni hatari sana kuwa na imani kwa mtu mwenye elimu ndogo tena amekubali kufanya kazi inayoongozwa kwa amri pekee.
Polisi wengi ni form four failures,matokeo yake wanakua watu wakufanya kaz tuu kama marobot.
Nashindwa kuelewa what if mng'esubiri mkutao uishe then muwakamate viongoz wahusika kama kuna sheria yeyote iliyo vunjwa?
 
Back
Top Bottom