Hata kama hawana conscience laana za hawa wagonjwa na watanzania kwa ujumla hazitawaepuka wao na vizazi vyao.hali ya muhimbili inatisha jamani, viongozi wetu waanze kuwa na hofu ya kifo na mungu otherswise siasa hizi zinatupeleka pabaya
Jk anashangaaMie nashangaa watu kushangaa. Serikali ilishatoa tamko kuwa LIWALO NA LIWE, au mlikuwa mnataka JKilaza mwenyewe ndiye atamke? Waziri Mkuu ni serikali pia....Very sad...oohh..LIWALO NA LIWE.
Ndo nini iyo?
Halafu 2015 two months kabla ya uchaguzi Mgomo mwingine mzito.Watanzania sisi ni wanafiki watu wakianzisha harakati za kuboresha huduma tunawalalamikia na kuona kuwa ni wajinga. Sasa mwisho wa siku sisi ndo waathirika wakubwa. Utalikuta jitu linaongea utafikiri lenyewe linaishi mwezini kumbe hapahapa. Sasa walimu nao wanadai haki yao mtasema sana. Acheni muumie sasa mnalalamika nini wakati mu wanafiki?
Wangekuwa wanarifaa muhimbili wagonjwa waliovinjika hata vidole?Tumesikia Lugalo imepandishwa hadhi na kuwa hospitali ya rufaa! Huko hakuna huduma zilizotajwa hapo juu? Liwalo na liwe!:israel: