measkron
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 3,782
- 2,406
Nimepata Taarifa kuwa hata Bugando uko wa kichinichini,ili upate huduma lazima uongee na mlinzi akutafutie Dr.te umpe kitu kidogo, vinginevyo utapoteza mgonjwa wako.
mkuu na mie nimepeleka mgonjwa KCMC wiki iliyopita ikiwa ni tarehe yake ya kuonwa nikarudishwa na kuambiwa kuwa hakuna madaktari, wa kuwaona kwani madaktari 80 wamerudishwa wizarani na waliopo wanaona wagonjwa wa emergency tu. sasa sijui serikali ina mpango gani jamani twateseka wananchi