Hivyo vitanda vikinunuliwa vitawekwa wapi?
Tafadhali mkuu, tusitakane ubaya, chama cha nani?aah ok...kumbe vitanda havinunuliwi kwa sababu hakuna nafasi so ni bora wagonjwa ambao tayari wana maumivu makubwa bado walale kwenye sakafu...safi sana nimependa sera zenu kidumu chama chenu!!
Kuna huduma ambazo lazma uende Muhimbili.Kulazwa chini wagojwa ni ya siku nyingi sana, tatizo hawataki kuongeza hospitals na vifaa. Tunan'gang'ania Muhimbili tuuuu. Hospitali za Wilaya (Temeke, Mwananyamala na Ilaa) hazipewi uwezo interms of vifaa na watumishi. Hii serikali ni dhaifu sana. Sijui kwa nini mnapenda kuichagua, aghrrrrr!
Blow as many trumpets as your lungs can allow!aiseee hali mbaya kwa kweli...., namtumia hizi picha mpuuzi manyanya
Sasa hii hali inakokokwenda baada ya mda si itahitajika mahema nje ya wodi!