Ogopa kumchagulia mtu mke,yatakukuta haya!

Simba Mkali

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
620
239
Kuna jamaa mmoja alitaka kuoa, hivyo akamuomba rafiki yake amtafutie mchumba. Rafiki akamtafuta msichana ambaye ametulia iel mbaya, asiyependa makuu na wala hakuna mtu aliyekuwa akijua sifa zake mbaya. taratibu za ndoa zikafuata na ndoa ya kifahari ikafungwa huku rafiki akiwa mshenga.

Sasa ndani ya ndoa kukawa na timbwili zito sana, maelewano yakawa hayapo kati ya mke na mume, watu wengi sana wakashangaa kwa kuwa ndoa yenyewe bado changa na mwanamke na mwanaume wote wanaonekana kuwa ni wapole wasiokuwa na makuu.

Kikaitishwa kikao cha upande wazazi wa kike, bahati mbaya mshenga hakuhusishwa, ila walichukuwa watu wazima wenye busara na kuwaweka chini bwana na bibi harusi. Walipoulizwa tatizo, bi harusi alisema kuwa mumewe hamridhishi kimapenzi... mwanaume naye akasema anatoa dozi mara mbili kwa wiki.... wazee wenye busara zao wakasema kuwa hiyo inatosha sana....

Lakini katika maongezi yale ikaonekana kuwa mwanaume alikuwa na kitu cha ziada ambacho alikuwa akishindwa kukiweka hadharani, ndipo wazee wale wenye busara wakamchagua mtu mmoja kwenda kumwambia mshenga ili ambane jaama ambaye ni rafiki yake amwulize kama kulikuwa na jambo la ziada ambalo alishindwa kulisema kwenye kile kikao.

Mshenga alipoambiwa jambo hilo akamvaa rafiki yake na kumuuliza kulikoni? Jamaa akafunguka kuwa mke wake anataka kugongwa nyuma.... amekuwa akimlazisha amfanye hivyo karibu kila siku, amejaribu mara moja na amegundua kuwa mkewe ni mzoefu kwa mchezo huo....!

Kama vile haitoshi jamaa akasema kuwa mkewe anasema bila ya kufanyiwa hivyo na kupitishwa ulimi chumvini hasikii raha hata kidogo.

Mshenga akashtuka sana, hakuamini kama binti yule angekuwa na mchezo ule kwani hakuwa na makuu katika malezi yake yote, akatoka na kupeleka ujumbe kama alivyaambiwa na rafiki yake.... alipofika kwa mzee aliyemwambia naye hakuamini kile kilichokuwa kikizungumzwa na mshenga.

Wakawaitwa wazee wengine wakaambiwa, wakapigwa na butwaaa, hawakuamini, wakamfuata mzazi wa kike wa bi harusi naye hakuamini kwa kujua kuwa mwanaye amemlea kwa maadili na heshima kubwa hawezi kufanya mambo kama yale..... wakaona ngoja wamwite mtoto wa kike yaani bi harusi wamuuulize kama anayosema mumewe ni ya kweli.... hapo akapewa nafasi mama tu kuongea na binti yake.... Mtoto akakiri kuwa ni kweli kwani ni mchezo aliouanza muda mrefu na bila ya kufanyiwa hivyo asikii raha..... Mama mzazi alizimia na kukimbizwa haspitali, alipopona baada ya muda kidogo aliwaita wazee wenzake na kuwaambia kuwa yale aliyoyasema bwana harusi mwanaye amekiri kuwa ni kweli.

Taarifa zilizopo ni kwamba ndoa inaelekea kufa kwa bi harusi kurudishwa nyumbani kwao kati ya siku hizi mbili. Ni kisa cha kweli hakuna hata chumvi iliyooongezwa.
 
kuna mamboo mengineee unamalizaaa ki akiliii,saa we kuwambiaa wazazii yanini....kulambaa chumviii mbonaaa poaa 2,na kama anataga umkwangue vochaaa unamkwanguaaa kimya kimyaaa yote mapenziiii,afu demu bab kubwa kakuchana live mwingine angekuwaa ana tigoliziwaaa njee ya ndoa na wahuniii 2
 
Katika ulimwengu wa sayansi na tehama.....bado kuna binadamu wa kiume wanachaguliwa wake....
 
Kuna jamaa mmoja alitaka kuoa, hivyo akamuomba rafiki yake amtafutie mchumba. Rafiki akamtafuta msichana ambaye ametulia iel mbaya, asiyependa makuu na wala hakuna mtu aliyekuwa akijua sifa zake mbaya. taratibu za ndoa zikafuata na ndoa ya kifahari ikafungwa huku rafiki akiwa mshenga.

Sasa ndani ya ndoa kukawa na timbwili zito sana, maelewano yakawa hayapo kati ya mke na mume, watu wengi sana wakashangaa kwa kuwa ndoa yenyewe bado changa na mwanamke na mwanaume wote wanaonekana kuwa ni wapole wasiokuwa na makuu.

Kikaitishwa kikao cha upande wazazi wa kike, bahati mbaya mshenga hakuhusishwa, ila walichukuwa watu wazima wenye busara na kuwaweka chini bwana na bibi harusi. Walipoulizwa tatizo, bi harusi alisema kuwa mumewe hamridhishi kimapenzi... mwanaume naye akasema anatoa dozi mara mbili kwa wiki.... wazee wenye busara zao wakasema kuwa hiyo inatosha sana....

Lakini katika maongezi yale ikaonekana kuwa mwanaume alikuwa na kitu cha ziada ambacho alikuwa akishindwa kukiweka hadharani, ndipo wazee wale wenye busara wakamchagua mtu mmoja kwenda kumwambia mshenga ili ambane jaama ambaye ni rafiki yake amwulize kama kulikuwa na jambo la ziada ambalo alishindwa kulisema kwenye kile kikao.

Mshenga alipoambiwa jambo hilo akamvaa rafiki yake na kumuuliza kulikoni? Jamaa akafunguka kuwa mke wake anataka kugongwa nyuma.... amekuwa akimlazisha amfanye hivyo karibu kila siku, amejaribu mara moja na amegundua kuwa mkewe ni mzoefu kwa mchezo huo....!

Kama vile haitoshi jamaa akasema kuwa mkewe anasema bila ya kufanyiwa hivyo na kupitishwa ulimi chumvini hasikii raha hata kidogo.

Mshenga akashtuka sana, hakuamini kama binti yule angekuwa na mchezo ule kwani hakuwa na makuu katika malezi yake yote, akatoka na kupeleka ujumbe kama alivyaambiwa na rafiki yake.... alipofika kwa mzee aliyemwambia naye hakuamini kile kilichokuwa kikizungumzwa na mshenga.

Wakawaitwa wazee wengine wakaambiwa, wakapigwa na butwaaa, hawakuamini, wakamfuata mzazi wa kike wa bi harusi naye hakuamini kwa kujua kuwa mwanaye amemlea kwa maadili na heshima kubwa hawezi kufanya mambo kama yale..... wakaona ngoja wamwite mtoto wa kike yaani bi harusi wamuuulize kama anayosema mumewe ni ya kweli.... hapo akapewa nafasi mama tu kuongea na binti yake.... Mtoto akakiri kuwa ni kweli kwani ni mchezo aliouanza muda mrefu na bila ya kufanyiwa hivyo asikii raha..... Mama mzazi alizimia na kukimbizwa haspitali, alipopona baada ya muda kidogo aliwaita wazee wenzake na kuwaambia kuwa yale aliyoyasema bwana harusi mwanaye amekiri kuwa ni kweli.

Taarifa zilizopo ni kwamba ndoa inaelekea kufa kwa bi harusi kurudishwa nyumbani kwao kati ya siku hizi mbili. Ni kisa cha kweli hakuna hata chumvi iliyooongezwa.

Bwana harusi aache ushamba, kama vipi ale mtoto huyo kiboga!
 
Babuu blessed hayo sasa matusi. Huwezi kutukana wanawake wote akiwamo mama yako kwa sababu ya mtu mmoja. Hapa tatizo ni mwanamke mwenyewe. Kama ameamua kuwa hivyo basi asiolewe na wasiofanya hayo. Waliomuanzisha waendelee naye.
 
Dah,addicted kawa teja wa hayo mambo...Mume ajifunze tu,ndo ivo tena.
 
Hii hadithi inatufundisha kwamba, tukitaka kuoa, tujaribu kila kitu. Siku moja jaribu kuangalia kama marinda yapo au wenzako washachana siku nyingi. Ova!!

Kwamba kuna watu hata kugugo hawawezi....hadi waombe watu wawasaidie kugugo....then wawaletee! (bila kuwonja?)
Asiyeweza kugugo na asiwowe!
 
wamejitakia..........

aliyeomba kutafutiwa mchumba.....
aliyekubali kutafuta mchumba.........
aliyekubali kuchumbiwa................

wote hao sio wazima, walifikiri kula pilau na kucheza kwaito, badala ya kuchunguzana
 
Back
Top Bottom