Ogende ogaruke na Shuntama

Hizi sio hadithi za hekaya ni mambo ambayo yapo kabisa in reality na yana mifano hai. kama unaamini kuwa kuna limbwata basi ndio shuntama yenyewe

Mkuu; unaweza ukatujuza mifano hai na kama ni sayansi ya kisasa au mambo ya ushirikina?
 
Wataalamu wa shuntama
Nenedeni bukoba hata na wa asia na wazungu wamelewa wanawanawake wawili moja muasia/mzungu mwingine mhaya je nani anabishi sasa.
Ukiwauliza wasema moto moto tikisa viungo maji(katerero).
Ni Bala shuntama yafanya kazi.
Wanaotaka kujo huko uhayani state mjihadhari BE CAREFULL MAN Utataka tu.Ukitaka cha ............. sharti .......................
 
Du!

Mkuu Rwegoshora karibu jamvini. Naona hii ni post yako ya 1 na umeamua NTOKE VIPI na SHUNTAMA.

Karibu tufurahi na kupeana changamoto.

Hii Shuntama na Ogende Ugaruke inapatikana vipi au inatengenezwa vipi?
 
du unataka kuitest nini?????
 
Kwanini Watu hawaamini kuwa mtu anaweza kupenda kupita kiasi hadi wanadhani kwamba amelogwa...??

Kwanini watu wakiachwa na wapenzi wao wanakimbilia kwa waganga...?, nadhani ingekuwa bora wangemfata yule aliyawaibia mpenzi wao kwa tuition au wapeleleze ni nini anachompatia ambacho wenyewe hawakumpatia (maujanja)

Hivi kuna mwanajamii yoyote humu anayeamini hii issue (au ambae ameshaona hii kitu imefanya kazi...?) Binafsi nadhani hakuna dawa zaidi ya upendo na taking care of your partner..,

Kwa wale wanaojua hii kitu na wana uhakika kwamba inafanya kazi naomba tujuzane ili tui-package vizuri na kuifanyia promotion na marketing ya nguvu na kuiuza nchini pote na kwa wanandoa wote nadhani tutasaidia jamii kwa kupunguza Divorces, na sisi kujitengenezea kipato cha uhakika.

Jamani tuache kuibiwa pesa zetu na kulishana visivyolika.....
 
hakuna dawa ya mapenzi
but watu wanapotafuta alternative way sio kwamba wanatafuta dawa ya mapenzi....
dini zote zinatufundisha vitu kama mikosi.laana,bahati,baraka na kadhalika

sasa sometimes watu wakiachwa huhisi kuna mkosi hivi..
kwa hiyo wanachojaribu kukifanya ni kutafuta dawa za mkosi au kuondoa laana hivi na sio dawa za mapenzi
hii huwatokea sana wanawake.....
 
Kwahiyo mkuu kuna dawa za kuondoa mikosi au laana
 
labda nikuulize
wewe unaamini kwenye baraka,mikosi,laana, na kadhalika????????

unaweza mtukana au kumpiga mzazi wako
bila ku feel kuna laana utaipata????????

ukiambiwa kuna nyumba ina mashetani
unaweza kwenda kuishi??????????
 
Mimi ninaamini kwamba IMANI ni jambo kubwa sana ambalo linampa mtu confidence ambayo bila kuwa nayo ni vigumu kufanikiwa. Kwahiyo mfano kwenye michezo mtu akiamini kwamba wameloga.., ile confidence itamfanya apeform zaidi akiwa na imani kuna nguvu inamsaidia (mfano mzuri vita vya maji maji) mababu zetu ile fikra kwamba risasi zitageuka maji iliwafanya wapigane ambavyo huenda wangekimbia...

Kutukana mzazi wako huku unaamini kuwa laana itakupata (ni kweli itakupata) sababu utakuwa umepunguza confidence yako na kila jambo baya likikutokea utaamini ni sababu ya laana (ila ukiwa chizi ambaye haamini laana huenda isikupate)

Inategemea kuhusu nyumba huenda kuishi kwangu pale kukanipunguzia confidence na nikaanza kuhusisha matatizo ya kila siku ya kawaida na hayo mashetani.., au upepo wa kawaida kama ndio shetani.., na hii huenda ikanipunguzia usingizi wangu mnono

Kwahiyo naona hizi dawa za mapenzi tunaweza kuziita Confidence Booster
 
usiombe yakukute...
 
usiombe yakukute...
Yapi Mkuu...., sisemi kwamba majanga mabaya hayapo.., lakini nachosema hayo mabaya yanatokea sababu ya supernatural powers au ni share ya bahati mbaya kwa kila binadamu..., Alafu issue ya kwamba fulani ana mikosi je ni sababu ya ushetani fulani au ni sababu ya mambo fulani anayoyafanya yanapelekea hiyo mikosi...

I really believe sometimes tunakaribisha wenyewe mikosi kwa matendo yetu..., na kila mtu ana fair share ya mazuri na mabaya
 
Kwanini Watu hawaamini kuwa mtu anaweza kupenda kupita kiasi hadi wanadhani kwamba amelogwa...??

Kwanini watu wakiachwa na wapenzi wao wanakimbilia kwa waganga...?, nadhani ingekuwa bora wangemfata yule aliyawaibia mpenzi wao kwa tuition au wapeleleze ni nini anachompatia ambacho wenyewe hawakumpatia (maujanja)

Hivi kuna mwanajamii yoyote humu anayeamini hii issue (au ambae ameshaona hii kitu imefanya kazi...?) Binafsi nadhani hakuna dawa zaidi ya upendo na taking care of your partner..,

Kwa wale wanaojua hii kitu na wana uhakika kwamba inafanya kazi naomba tujuzane ili tui-package vizuri na kuifanyia promotion na marketing ya nguvu na kuiuza nchini pote na kwa wanandoa wote nadhani tutasaidia jamii kwa kupunguza Divorces, na sisi kujitengenezea kipato cha uhakika.

Jamani tuache kuibiwa pesa zetu na kulishana visivyolika.....

Mie siamini kabisa kama kuna dawa ya mapenzi. Ila naamini kwamba unaweza kumpenda mtu kupitiliza na hii inasababishwa na vitu mbali mbali kama vile jinsi anavyokujali, kukuheshimu, kukuonyesha mapenzi ya hali ya juu kila siku iendayo kwa Mungu n.k. Wale wasiaomini kwamba unaweza kumpenda mtu kupitiliza hadi uwe umerogwa sijui tuwaite vipi labda ndio wale wanaosema nampenda fulani kwa 55% au 60% sijui asilimia nyingine wanamuachia nani. Nasikia wabongo walioko Bongo na hata majuu wanasafiri hadi Nigeria eti kutafuta dawa ya mapenzi!! maana wanaona penzi limepungua!
 
Back
Top Bottom