Ogeleaa ogeleaa... Piga mbizi.

Consigliere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
12,037
24,595
Nimeu miss sana huu wimbo, naomba ambaye anao auupload, nadhani ni wimbo unaofaa sana katika kipindi hiki.
 
mimi na wewe ogelea ogelea piga mbizi.....
mpaka kigamboni.....ogelea ogelea piga mbizi.....

sijui ni kina nani wale waliimba....
a
ww preta umeombwa kuupload wewe unakuja na lyrics hlfu hata hujui nani kaimba,si ungeniuliza kwanza.
happy new year kwako na raia wote wa Yaeda.
 
a
ww preta umeombwa kuupload wewe unakuja na lyrics hlfu hata hujui nani kaimba,si ungeniuliza kwanza.
happy new year kwako na raia wote wa Yaeda.

kumbe unaujua...ha ha...weka basi hapa tuogelee.....si unajua Yaeda mbado kuona maka....Happy New Year dear.....
 
mimi na wewe ogelea ogelea piga mbizi.....
mpaka kigamboni.....ogelea ogelea piga mbizi.....

sijui ni kina nani wale waliimba....

tehe tehe....uliimbwa na wana Orchestra Maquis Original.
 
Nimeu miss sana huu wimbo, naomba ambaye anao auupload, nadhani ni wimbo unaofaa sana katika kipindi hiki.

Niko na Library nzima ya Maquiz du zaire, ila hicho ni kibwagizo (rap) waliyokuwa wanatumia kwa albam zao nyingi tu za miaka ya mwisho ya themanini na mwanzo wa tisini na sio specific wimbo.

Msaada kama upo Dar nenda TBC waambie unataka nyimbo za Marquiz utakuwa umepona hizo ni kazi za ndugu yetu mpendwa Nguza Vicking Mbangu a.k.a "Babu Seya".
 
mimi na wewe ogelea ogelea piga mbizi.....
mpaka kigamboni.....ogelea ogelea piga mbizi.....

sijui ni kina nani wale waliimba....

I like your new salacious avatar..........looks too appetizingly to my rustic tastes.........
 
mimi na wewe ogelea ogelea piga mbizi.....
mpaka kigamboni.....ogelea ogelea piga mbizi.....
*sijui ni kina nani wale waliimba....
Kama huna 200 ogelea ogelea piga mbizi hadi Kigamboni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom