Ofisi za wizara ya elimu

Wana jf hiv hapa dar ofisi za wzara ya elimu ziko wapi?
panda basi mpaka posta ya zamani,ukishuka nyoosha kama unakwenda feri,uliza jengo la wizara ya ardhi,hapo kata kushoto,mbele yako utaona ukuta wa Ikulu opposite ndo wizara ya elimu.
 
Wakuu nna matokeo ya mtu ya fm6 lakn hakusome nchin anahtaji yabadilshe yawe ya k Tz ofc gan natakiwa kwenda ili nkayabadlishe.
 
Back
Top Bottom