Ofisi za DHL dar es salaam

ndugu yangu hao DHL Tanzania wanaiba mizigo halafu wanasingizia kuwa wamekutafuta na hupatikani,kwa hiyo wanakwambia huo mzigo umepelekwa sijui CUSTOMS, wakati mzigo wako una anwani zote,ikiwepo barua pepe na namba za simu.yashanitokea.bora utumie EMS.tangia nitumie EMS hakuna hata parcel yangu moja iliyopotea.wanaiba hasa parcel zinazotoka england.be careful.
 
Nakubaliana na wewe mkuu, hao jamaa ni wezi hata mimi waliniliza iphone yangu.
 
Wakuu naitaji kutuma simu hivi kutoka UK je inakuwaje hasa upande wa usafirishaji kuna watu wowote ambao wanasafirisha mizigo???Maana na DHL wanaiba kama mlivyosema kuna njia yoyote ya haraka??
 
ndugu yangu hao DHL Tanzania wanaiba mizigo halafu wanasingizia kuwa wamekutafuta na hupatikani,kwa hiyo wanakwambia huo mzigo umepelekwa sijui CUSTOMS, wakati mzigo wako una anwani zote,ikiwepo barua pepe na namba za simu.yashanitokea.bora utumie EMS.tangia nitumie EMS hakuna hata parcel yangu moja
iliyopotea.wanaiba hasa parcel zinazotoka england.be careful.
EMS unajiunga nao vipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom