Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 22,347
- 29,153
Nawahurumia waliopanda mbegu hela. Poleni sana wadau msikonde next time mtavuna zaidi ya hapoila acheni papara ya kuharakia maendeleoyasiyo na dira...
Kuna kamchezo kengine kanaitwa PUFDIA (People United For Development In Africa) ambapo sasa wana ofisi kibao pale jijini Dar, Wanadai ukishatoa kiingilio cha alfu ishirini utajiletea maendeleokadha wa kadha ikiwemo kusomesha wanao hata level ya boarding hata ujenzi wa shule na nyumba yako halafu wanao watu wa mfano ambao wameshaanza kuvuna. Wameandikisha watu wengi sana ukiwauliza mbona wafaidika si wengi, wanasema kwamba bado lengolaidadi ya wanachama 30,000 halijafikiwaila likifikiwa baaasmavuno yanaanza sawia. Ukitoa ada ya alfu ishirini utawajibikakuchangia kwa kila category unayotaka uwezeshwe. Inaendeshwa na kuratibiwa na viongozi wa dini ya kikristo nchini na wanasemani kwa ajili ya watu wote ingawa kule Uganda ni kwa ajili ya wakristo tu, na wana scheme ambayo haina tofauti sana na DECI ingawa wamejipaka rangi nzuri ili waonekane wakombozi halisi.
Sijui nao wanasubiriwa wakishaivisha mbegu zije kung'olewa na akina mkullo??