Ofisi za CCM Pemba zachomwa moto, CCM walaani hicho kitendo

Habari za hivi punde zinasema kuwa ofisi za CCM Pemba zimechomwa moto na nyumba za wafuasi wa CCM kupigwa x.

Kiongozi wa CCM kutoka kisiwani humo amewataka wafuasi wa chama hicho wawe watulivu hadi tarehe 20 Machi ambapo watalipiza kisasi kwa kuipa CCM ushindi wa kishindo

Chanzo: Radio Uhuru
panahitajika uchunguzi wa kina , inaweza kuwa mbinu ya mazombie ili kuuhadaa ulimwengu , kuamini taarifa za ccm unatakiwa uwe na roho ngumu sana !
 
Na damu na vilio vya watoto na wanawake watakaopigwa na polisi kushinikiza ccm ibaki madarakani na iwe juu yako na ukoo wako woote,naomba hayo katika jina lake YESU kristo
Zanzibar watu watafungwa na kubambikiwa kesi kwa wingi magereza yatafurika wafungwa waliokaidi amri haramu,
 
ccm wameanza maigizo hii ni Sinema wameamua kusaka huruma kwa watu, lakini ccm wenyewe ndiyo wamezichoka moto wapate kisingizio cha kuwakamata vinara wa CUF ili trh 20 kusiwe na harakati zozote za kudai haki.
 
CCM wamechoma moto ili wapate kisingizio cha kufanya msako na kamata kamata ya wale Viongozi wa CUF mpaka uchaguzi haramu upite.
 
Na damu na vilio vya watoto na wanawake watakaopigwa na polisi kushinikiza ccm ibaki madarakani na iwe juu yako na ukoo wako woote,naomba hayo katika jina lake YESU kristo

AMINAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
 
Kwa nini Pemba? Kila unapofanyika uchaguzi mambo ya ajabu ajabu chanzo chake huwa Pemba, kwa nini kila siku Pemba, Pemba kuna nini mbona Unguja hatuoni hivyo vituko?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom