Kwani nyie mlikuwa mnaingia jf na kucomment hadharani na kila mtu anakutazama?Habari wadau , nasikitika ofisi yetu (international society) imepigwa burn marufuku kuvisit JF hasa jukwaa la siasa kutumia computer za ofisi. Mkuu wa utawala ameliweka wazi hatua kali za kinidhan zitachukuliwa kwa atakayekutwa live.
Kwani nyie mlikuwa mnaingia jf na kucomment hadharani na kila mtu anakutazama?
Atakuwaje amegundua kuwa mnaconcentrate kwenye Jukwaa lasiasa?
Ofisi za namna hiyo ni za kikoloni mno!...Mtu anataka awatawale kifikra miaka hii?
Too amazing!..[/QUOTE]
We vipi? kila kitu na wakati wake,Ya mungu mpe Mungu na ya Kaisar mpe..........
Kama wanapunguza uzalishaji(utendaji) kwa kukaa ktk mambo ya kutembelea JF ni makosa kiutumishi,Fanya kazi kulingana na mahitaji ya ajira yako siyo muda mwingi kuupoteza JF kisa ni uhuru wa maoni.
Mwenye ofisi au mtawala huyo ni mfano wa kuigwa,
Wabongo tunapenda sana starehe,uwajibikaji ziro kabisa
wakisema,mnaleta siasa,tubadilike
byabato

huyu mkuu wa utawala ana mambo yake ye mwenyewe kutwa JF, ni mmoja wa mafisadi hataki watu wapate exposure. Alishindwa kura za maoni ndani ya nambari wani. Kazi inafanyika vizuri.
Mimi ofisini kwangu nime-block kabisa during working hours isipokuwa muda wa lunch na baada ya muda wa kazi. Kila ofisi inafanya kulingana na matakwa yake ya kazi. Kuna watu wakiingia JF au kwenye social networking zingine huwa hawatoki, unakuta tabs ziko wazi muda wote kitu ambacho huathiri sana utendaji kazi. Ukifanya tathmini vizuri utabaini karibu robo ya muda wa kazi au zaidi kwa baadhi ya watu unapotea kwenye ku-browse social networking.
Ushauri, ombeni ofisi iwape access muda wa lunch kwa mfano kati ya saa 7 na 8. Mara nyingi ofisi ndio huathirika zaidi kwa kuipandishia internet usage cost na efficiency deterioration.
Think again.
Hiyo ni ofisi au jumuia? (International society). Halafu wamejuaje kuhusu jukwaa la siasa?
Habari wadau , nasikitika ofisi yetu (international society) imepigwa burn marufuku kuvisit JF hasa jukwaa la siasa kutumia computer za ofisi. Mkuu wa utawala ameliweka wazi hatua kali za kinidhan zitachukuliwa kwa atakayekutwa live.
Mwambieni mna kipindi kifupi tu chini yake na marafiki zake mafisadi anaojaribu kuwatetea.Habari wadau , nasikitika ofisi yetu (international society) imepigwa burn marufuku kuvisit JF hasa jukwaa la siasa kutumia computer za ofisi. Mkuu wa utawala ameliweka wazi hatua kali za kinidhan zitachukuliwa kwa atakayekutwa live.