Ofisi ya Waziri Mkuu na Mamlaka ya Hali ya Hewa

Shaycas

JF-Expert Member
Feb 13, 2009
906
110
Ofisi ya Waziri Mkuu Kitengo cha Maafa wakishirikiana na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania wemekuwa wakitoa tahadhari ya mvua za elnino na kueleza baadhi ya mambo ya kufanya kabla na wakati wa mvua hizo.Tahadhari hizo zimekuwa zikitolewa kupitia vyombo vya habari. Ni vyema wananchi wakachukua tahadhari kabla ya hatari.Je ofisi hizo nazo zinachukua tahadhari gani?
Au ndo kazi yao inaishia kwenye kutangaza tu? JE Taasisi nyingine kama afya wamejipanga vipi na mlipuko wa magönjwa ambao unaweza kutokea?
Je wewe mtanzania mwenzangu unayeishi mabondeni utafanyaje kwani kuishi huko bondeni sio kwamba unapenda,bali ndio hivyo tena.....
 
Hkuna taadhari yoyote walioichukua zaidi ya kupiga bla bla blaa!
Maafa yakishatokea ndo utawaona wanakimbia kimbia ovyo.
 
Back
Top Bottom