Ofisi ya serikali za mitaa salasala mabanda mengi ni kituo cha rushwa rasmi

MELEKIZEDECK

Member
Sep 25, 2012
15
0
Kila ifikapo mwishoni mwa mwaka kuna watu wanaoshirikiana na viongozi kutoka ofisi ya serikali za mitaa, salasala mabanda mengi kuwaibia wananchi wa maeneo ya salasala kwa Babu na maeneo mengine.Watu hao hujitambulisha kama wafanyakazi wa TRA, watu hao husumbua wafanyabiashara wa maeneo hayo kwa kuwabebea vitu kama mizani na kvipeleka kwenye hiyo ofisi ya serikali za mitaa salasala mabanda mengi, mara wafikapo huko huwatoza wafanyabiashara fedha bila risiti yoyote. tulijaribu kufuatilia TRA tegete wao wakasema hawalitambui zoezi hilo kwani wao hutoa taarifa hii ilikuwa mwaka jana, na mwaka huu wezi hao wakitumia hiyo ofisi hiyo moja kwa moja walikomba mapesa hayo tena.
 
Kwa hiyo wale jamaa waliokuwa wanapita mwezi uliopita walikuwa makanjanja? Sishangai sana kusikia TRA bandia kwa kuwa nimeshasikia TANESCO bandia, viwanda bandia na sasa kuna filamu inayoendelea ya ARV b
andia.
 
Back
Top Bottom