Ofisi ya Kocha wa Taifa Stars - PICHA

Unataka kutuambia nini? Nimeshindwa kuona something special!!
 
I doubt hii si wakati anafanya mkutano na waandishi wa habari mfunyukuzi unatupeleka chaka
 
Hiki kitanda cha nini kitaka kudanganya uma angalien mara mbili mbili kabla ya kutuma mnatuma nini..embu tujulishe wamemwekea kitanda akijisikia kulala sio..kama hivyo bg up tff na mie ngoja nkaombe request kwa mke wangu kale kaofisi niweke hata tatu *mbili
 
Ni katika moja ya hoteli ambazo stars waliweka kambi, hicho kilikuwa chumba cha training (ya ndani)
 
Back
Top Bottom