Ofisi ya cuf mkoa wa mara yafungwa-viongozi wamejitoa wakidai wanajipunyua manyoya ya cuf

George Maige Nhigula Jr.

JF-Expert Member
Mar 14, 2008
470
149
Ofisi ya CUF Mkoa wa mara imefungwa kwa viongozi wote wa mkoa kujitoa na kudai kuwa wanajipunyua manyoya ya CUF na kushusha tuhuma nzito kwa uongozi wa CUF taifa kuwa umekosa mwelekeo na umeendekeza ubinafsi na kutowasikiliza wanachama, na kufanya mambo kwa utashi wa watu wachache.

Nadhani huu ni mwendelezo wa kusambaratika rasmi kwa chama hiki kilichowahi kuvuma kwa sera zake za ngangari baada ya wanachama wake wengi waliojitoa muhanga kukipigania chama hicho, kuhisi usaliti mkubwa wa viongozi wake wa Taifa ambao wanakula bata kwa kufunga ndoa ya mkeka na magamba.

Source ITV HABARI
 
Back
Top Bottom