Ofisi ya CHADEMA wilaya ya Karatu yavamiwa na kufungwa

mwanawahaki

Member
May 27, 2016
11
4
Kikundi cha vijana zaidi ya 30 wa chadema wamevamia ofisi ya chama wilaya nakuifunga.vijana hao ambao wengine walidai kuwa ni viongozi wa wilaya walitoa sababu ya maamuzi yao kuwa ni kuchoka kutumia chumba kimoja cha kupanga hali inayosababisha kufanya vikao wakiwa wamesongamana lkn pia wanapata usumbufu kutokana na chumba cha pili kuwa ni klabu ya pombe.

vijana hao pia walidai kuwa mm/kiti taifa alikusanya michango kwenye mkutano wa hadhara wakiwa kiwanja cha mpira ili kujenga ofisi ya wilaya lkn mpaka sasa yuko kimya hivyo wanafanya hivyo ili kutuma ujumbe wao.

kijana moja akiongea kwa hasira alidai kuwa kiwanja cha kujengea walipewa na halmashauri lkn cha ajabu kimetolewa kwa jina la mtu na si la taasisi...Wamedai kuwa lengo lao si kuvuraga chama bali kukijenga .


Chanzo ITV leo
.....mwanahaki.........
 
wavamie na ufipa,kodi ya pango milioni 60 kwa mwezi kwenye banda lile,huu nu ujambazi
 
Nabado
Tunawaambia kila siku
Cdm na Ruzuku yoote
Michango kila siku
Lakini hata ofisi moja yakumiliki hawana!!!

Mbowe ni mfanya biashara wasiasa
Lakini Vibendera hilo hawajui
 
Ni kweli jamani.ofic ya chadema karatu!! Inatia aibu.ruzuku inaliwa na wajanja,milio 600 bado hana haya kusema serekali imefilisika na kila mwez anapata ruzuku ya milion 600
 
Back
Top Bottom