Ofisi ya CHADEMA - Mafia

Hapo ndio umewaza mpaka mwisho wa akili yako??yani mi naona tu kama unajiuliza swali mwenyewe unajijibu mwenyewe,kitu ambacho ungeweza kukifanya tu hata bila kupost huku Jf,in short hapo umekunya kitu flani hivi.
 
Kama mabadiliko ni kumbadilisha Mbunge wetu mh Bulj baada ya kushindwa kukitumikia kisiwa chetu kama alivyoahidi.
Lakini kuikaribisha CHADEMA katika kisiwa chetu ni kukaribisha janga jengine la Kimaendeleo.
Kitakuwa kama ngazi ya kufikia malengo yao ya Kuindeleza Arusha na MOSHI.

Akili yako ndogo, huna akili ya kuchambua mambo, unaposema mbunge wako ameshindwa, unamaanisha chama chako kimeshindwa pia kuwatumikia, ila kwa kuwa akili yako ni ndogo unakimbilia kuikandia chadema na uarusha wako. Na hili ndo litawamaliza safari hii maana bado mna mawazo ya miongo kadhawakadha iliyopita ambayo kizazi hiki cha doticom kinawaona kama wehu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom