Ofisi hii Kila Ijumaa Wafanyakazi Wake Wanamwaga Radhi

'yuk!'...uchafu tu!

...imagine wale vibonge wenye vitambi na manyama uzembe wakiwa uchi, na wale wenye malapa vifuani, au wenye cellulites na wenye michirizi chirizi utadhani michuruziko ya mchuzi...au wale nguo zinazowastiri 'mapori' ya nywele mwilini,... kuna mijitu inatisha ikiwa uchi, utasema masokwe!

Ndio maana nika sema itawafanya watu wengi wesiende makazini maana ni kichefu chefu tupu.Unakutana na mtu kikwapa kina nywele kipao ,kina tema ile mbaya unadhani kutakalika kweli officen? Ngou zina sitiri mambo mengi jamani.Ila kwa watu kama akina Fidel,YoYo,Nyani Ngabu watafurahi sana na watapiga kazi ile mbaya.teh teh teh
 
Back
Top Bottom