Ofisi gani zinakuwa bize sana kipindi gani.

Wajad

JF-Expert Member
Jul 20, 2012
1,321
604
NMB, mwisho wa mwezi.
Ubungo bus terminal, mwisho wa mwaka.
Polisi, wakati wa maandamanano ya cdm.
Magogoni, wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu.
Mjengoni, kukiibuliwa hoja inayowabana vigogo.
Kumbi za starehe, mwisho wa wiki.
Naomba kuwasilisha.
 
Ofisi zisizokauka ni hizi;
Vibanda vya wakaanga vyepe mida ya lunch...
Toilet za pale Mwenge stand..
Makanisa yote siku za J'2
 
Back
Top Bottom